Nzuri brother hasa ya 111,1V zote tu kwakua story zinamuendelezo Ila i Ni ngumu tu kuziangalia mfurulizo sijui kwanini🔥 jaribu na wewe utele feed backOk mkuuu ujanijibu nzuri au mbaya
Mzee wa kupigania wanyonge na kulipa visasi!
Au humu kaenda nje ya hizo plot?
Nzuri sana!Ok mkuuu ujanijibu nzuri au mbaya
Hii ni kali sanaHuyu siku hizi movies anatengeneza mwenyewe zimekua ovyo kweli.. ngoja tuone hii
😂😂MulemuleMzee wa kupigania wanyonge na kulipa visasi!
Au humu kaenda nje ya hizo plot?
Reacher hapaswi kumla Neagley bwananashukuru zamu hii hajaniangusha, angemuacha yule mrembo bila kulamba, angenikwaza, yule dada ni mzuri..!
Hiyo Reacher ni kali hivi?Reacher hapaswi kumla Neagley bwana
😀 😀 😀 . Hata kwenye vitabu, na nimevisoma kadhaa, Reacher huwa hana mahusiano na Neagley ila huwa kuna videtective na vipolisi polisi vya kike kwenye mji anaopita na kujikuta anashirikiana navyo kwenye kesi za upelelezi. Hao ndio huwa anapita nao kabla ya kumaliza kesi na kuhamia mji mwingine 😀😀
Mimi naipenda. Ndiyo nataka kuanza season 4. Zamani nilikuwa nasoma vitabu vyake kila nikivipata na nilikuwa navipenda sana tu pia, so nimefurahi kuwa TV series yake nayo iko poa kwangu.Hiyo Reacher ni kali hivi?
Nzuri sana japo season za mbele kuanzia ya 4 hivi ilianza kuboa, na sahivi wamerudi na season ya 5 . Kama rates basi ni 8/10 . Go for itHivi wakuu hii Outer Banks huwaga ni nzuri?
Vitu vya kawaida mno hasa kwa jamii ya wazunguNimeanza kuiangalia Landman Vincenzo Jr mbona huyu binti anipita mbele ya baba’ke matako wazi🤔
Cc: Carleen
Barry,fargo,1883,the innocent,friends and neighbours,those who about to die.Wakuu Nipo kwenye mission ya kupakua series tofauti tofauti ambazo sijazioni hasi nijaze simu yangu. Nimetenga storage GB 200 kwa ajili ya series tu. Tafadhali naombeni kila mmoja anipe orodha ya series zake bomba alizowahi kuangalia. Kama sijaitazama nitaipakua.
Naombeni sana, reason ni kua anytime naweza kwenda eneo ambalo ni very remote network ya kupakua muvi ikawa shida
Babaake mwenyew anashangaa, hayuko comfortable kabisa, kuna muda kakimbia bafuni eti anabakwa anamkimbilia babaake yuko wazi tu🤦🏽♀️Vitu vya kawaida mno hasa kwa jamii ya wazungu
Okay thanks for the list hapo nimetazama 1883, those about to dieBarry,fargo,1883,the innocent,friends and neighbours,those who about to die.