Series (Special thread)

Eeh mkuu umepiga pozi hapa! Gray's anatomy ni ngoma kweli, lakini Prison Break ndio ilikuwa kitu kingine bana. Nilikula season zote kama chakula cha jioni. Naona hujataja Breaking Bad au Game of Thrones, hizo pia ni bomba kama unataka kuanza. Rocky inaanza January? Sijui hiyo, lakini kama inafanana na Rocky za zamani basi niko tayari kuangalia. Pia kuna The Walking Dead kama hujaiangalia, si ungependa kuongeza hiyo kwenye list yako?
 
Hakuna scene ilinichefua kama alivyompa penzi yule mzee, lol
Ndio maana nasema hizi 50/50 binafsi sizitaki, ifike mahala waache kututania
 
Hakuna scene ilinichefua kama alivyompa penzi yule mzee, lol
Ndio maana nasema hizi 50/50 binafsi sizitaki, ifike mahala waache kututania
Celadus na ilibidi ampe mapenzi ili apate ulinzi maana bila ivo angejuta...

Halafu mtu umekuja na cause zako toka huko kwenu,unasahau yote na destination inakua kulipiza kisasi cha mapenzi ule ni utoto wa hali ya juu....
Mwandishi alifeli kuandaa story au budget ndogo iliwacost...
Sequel nzuri ya spartacus ingekua house of agron kwakua ndiye aliepona peke yake kwenye ule msako...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…