Series (Special thread)

Hii najua, nilicheka watu walivyomkataa black panther mpya wakijua anareplace character ya King T'chala, ndio maana nasema hizi post credit scenes kwenye movies za marvel zisidharaulike,
Anyway, i'm ready for it.
Ingekua zamani ningekuandikia booonge la gazeti kuhusu hili swala. Ila tu nikua kwa ufupi sana Tchala jr atakua na Storm na Namor kwenye BP 3
 
Whaaat wameicancell!??? No wonder ile movie ni trash and low budget plus Ushur hakuwahi kua favourite wa yoyote why wampe a sequel, smh.
Issue sio ASHUR..
Ashur si kama bathiatus tu au auvidius,vibius,titus calavius au appolinarie humu amecheza kama DOMINUS....
Tatizo ni ACHILLIA hakuna gladiator wa kike kwenye ludus yoyote ya kirumi so audience waliipa mgongo ndio maana wameicancel...

hata mimi nilikereka unakuaje bingwa mwanamke yan masela wakikubana wanakupiga vidole mara wachane chupi,yan haikuwa na ile mikiki kama SPARTACUS
 
Hakuna asiye penda series sisi wote tunapenda ila aina ya series unazocheki hapo ndo kipengele mura.
Aibu utaona wewe... Yaani nishindwe kumuangalia Saitama,Mikasa Ackerman,Eren Yeager, Itachi Uchiha nk kisa nikiangalia anime nitaoneka mjinga?? Never.
Hata hivyo mm niko najikumbusha enzi za secondary hapa. Hii animation ilikua hainipiti kwenye chanel ya Nickelodeon
 
Hyo last house niliicheki trailer yake inaonekana ni nzuri ushaicheki dissclosure day nayo ni nzuri na kuna horror moja sijaicheki ila nasikia imeipita Obssesion kwenye rating inaitwa "Teenage Sex and Death at Camp Miasma" Dr. Mariposa
Hizo hata sijaziona.. ipi hapo sasa nianze nayo kesho? Au nianze na hiyo ambayo we hujaona nije nikudorishie
 
Video zina dakika ngapi maana mb chache eeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…