Series (Special thread)

Mkuu nipe link au tovuti ya kupakua movie
 
Korean Series: The Husband

Hii series ni Kali sana na ni ongoing series no comedy ni serious series starring ni yule aliyecheza kwenye The Veil hanaga kazi mbovu.
Jamaa ana mgogoro na mke wake na ameomba divorce waachane ingawa kazi anayofanya boss wake ni baba mkwe wake Wakati anampango wakuachana na Mke wake bahati mbaya Mke wake anatekwa na kutakiwa atoe kiasi fulani cha fedha Tena ni fedha nyingi ili mke wake aachiwe na mtekaji. Hajakaa sawa Police wanabaini kuwa yeye ndio amehusika na huo utekaji kutokana na ushahidi unavyoonesha na ukizingatia sio kweli yeye ndio amehusika unafikiri jamaa atafanyaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…