Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Umetisha sana....kama seriez zako zina subtittles....nijuze...maana mie bila hizo napata shida kizungu changu ni kama cha jpmAnayetaka Series yoyote na hana Muda wa Kuitafuta.
Nnaweza kukupatia Series yoyote kwa Bei ya Tsh: 15Elfu tu bila kujali ukubwa au Udogo wa Series unayoitafuta.
Kwa sasa nina collection ya Series 112.
Kujua list, ntumie text kwenye whatsapp
0715-240140
Mbona kuweka subtitle kwenye movie au searis ni rahisi sana mkuu.Umetisha sana....kama seriez zako zina subtittles....nijuze...maana mie bila hizo napata shida kizungu changu ni kama cha jpm
Tuelekezane mkuuMbona kuweka subtitle kwenye movie au searis ni rahisi sana mkuu.
Kwakuwa ndio unaanza tumia hii App Subtitles - Android Apps on Google PlayTuelekezane mkuu
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Njia zingine ingia kwenye huu uziTuelekezane mkuu
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Jack Bauer is back amecheza akiwa London Na gaidi al haraz. uko wapi Je uchukue bureMkuu
Mimi nataka series ya mwisho ya 24 hours (ya Jack Bauer). Nadhani walicheza kama episode 7 au 8 hivi.
Missing ilifutwa mkuuMwenye taarifa kuhusu flashforward na missing kama ziliendeleaga
Kwa nnMissing ilifutwa mkuu
Watching rate ilikuwa ndogo nafikiriKwa nn
Series ya ukweli hiiKwa wale wapenzi wa Quantico..Imerudi tena
Ilikuwa cancel hiyoHivi the tomorrow people ndo ilishia season one tu
Kwan imefka season 10...! Nakumbuka ni season 9 epsods 12 wakaiita live another day...so hata mie nilitegemea waendelee epsod ya 13....Kwanza vipi hawa jamaa wanaocheza 24 (kiefer) au jack bouer n wenzake ndio wamemaliza 24 kwenye hiyo season 10 epsod 13 au vip? isaidieni jamani maana nailove sana.
Baada ya kukuona unaelekea kwenye upunga ndio kasepa!Haahaahaahaaaaa sasa mbona kwa shingo upande hivyo ndugu.