Series (Special thread)

Ni Ile ya Jason Bourne aliye igiza bourne identity au ni Ile ya yule mwamba wa lone survivor?
Hizo zote sijacheki Sasa sijui ni huyo au laah! Ila huyu anaitwa Ryan Phillipe oya series ni tamu mno na story yake inaenda mbele nakukurudisha nyuma kwa baadhi ya episodes but iko poa haiboi na starring mwenye ni mnyama sana hacheki na nyani alafu anatumia akili
 
Series: Shooter

Jamaa ambaye ni soldier mwenye utaalamu wa kupiga risasi masafa marefu (Sniper)aliyeamua kuacha kazi na kujikita na maisha ya kawaida na familia yake.Anaombwa kutoa msaada kutokana na uzoefu alionao wa kusaidia

series kali sana nliangalia kitambo umenikumbusha dell latitude...
 
Ni ya mwaka gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…