Series (Special thread)

Sometimes series zinapewa hype kubwa ila ukiamua kuzicheck unakuta za kawaida sana. Nimesha download na kufuta series nyingi sana kwa mtindo huo.

Nafikiri kila mtu na taste yake.
Hiyo man on fire mimi mwenyewe ilinishinda nikaifuta baada ya episode 2.. series nyingi siku hizi zinakosa taste nzuri ya kuendelea kuangalia.
 
Sometimes series zinapewa hype kubwa ila ukiamua kuzicheck unakuta za kawaida sana. Nimesha download na kufuta series nyingi sana kwa mtindo huo.

Nafikiri kila mtu na taste yake.
Ndio maana huwa Ninapenda kumpa mtu movie na story yake kiufupi kama ataona ina taste yake ni maamuzi yanabaki kuwa yake kuliko kupendekeza movie Fulani pekee watu waangalie inaweza ikawa nzuri kwa upande wako ila kwa mwenzako ni mbaya unamsababishia anaenda kupoteza bando lake
 
Hata Mimi nilidhani Crime 101 itakuwa bonge la movie kwa kweli ikaniangusha, mwanzoni unaona kama itakuwa na kitu ila unapozidi kucheki ndio inazidi kukuboa ndio maana huwa ninapendelea nikimpa mtu movie na muwekea na story yake kiufupi ili imrahisishie maamuzi yanabaki kuwa yake kuicheki au laah!
 
Hii inaonesha ina kitu
 
Ya mwaka gani mkuu
Adventur
Adventures ndo mpango mzima, mambo yangu haya
 
Nilipoona ndani Kuna majina makubwa nikajua itakuwa ya moto, Haina maajabu yoyote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…