Series (Special thread)

Ni tumien lin ya the THE TOWN ile ya kituruki wanaoshindwa kutumia hela za magendo.

Mana nmeshindwa kuipata wakuu.
Nilikuwa natumia moviesmod kudownload naona wameifungia hapo nilikuwa napata movies na series zenye lugha zaidi ya Moja kama Hindi English German Spanish etc labda mpaka mtaalamu Vincenzo Jr Scars waje.
Kwa Sasa Kuna hizi sijui kama zina mult audio

 
Guys hii Man on Fire nimeishia ep 3 mbona haina maajabu🙄 nikapause kwanza nikaingia kwenye the PRISONER nimeimaliza yoteeee kwa kweli nimeridhika, hii Man on fire niendelee nayo au niachane nayo????
Sometimes series zinapewa hype kubwa ila ukiamua kuzicheck unakuta za kawaida sana. Nimesha download na kufuta series nyingi sana kwa mtindo huo.

Nafikiri kila mtu na taste yake.
 
Series yake hii hapa S01

Website ni hii Vegamovie
 
Sometimes series zinapewa hype kubwa ila ukiamua kuzicheck unakuta za kawaida sana. Nimesha download na kufuta series nyingi sana kwa mtindo huo.

Nafikiri kila mtu na taste yake.
Nakubaliana na wewe yaan series imepambwa humu lakini mimi sioni chochote,
Jana niliangalia movie ya Crime 101 mastaa wengi ila duh hapana niliangalia mpaka mwisho sababu ya Chris Hemsworth na Halle Berry, nikaingia kwenye How to make a Killing, igweeeeee huwezi amini nilikesha mpaka alfajiri, plots zimepangwa zikapangika, ending isiyotarajiwa,
Kila mtu na taste yake indeed
 
Watumie hii

 
Ya marehemu paul walker ukipata muda icheki japo ya zamani 2006

Jamaa anapewa bastola mbili zilizotumika kuua dirty cops akazitupe yeye badala yake anaziweka kwenye loker kwenye basement ya nyumba mtoto wa jirani anaiba anaenda kumshoot baba yake wa kambo baada ya kushuhudia anamnyanyasa mama yake.
jamaa anapambana bastola hio isifike mikononi mwa polisi maana atakua arrested
 

Attachments

  • images.webp
    40.6 KB · Views: 17
The town zile hela ziliwatesa sana😀😀😀
 
The town zile hela ziliwatesa sana
Ni tumien lin ya the THE TOWN ile ya kituruki wanaoshindwa kutumia hela za magendo.

Mana nmeshindwa kuipata wakuu.
Ipo hata movie box kuna jina lake inaitwa kasaba
 
Wazee wa adventure
Jamaa anapata kazi kwenye maktaba ambayo inahifadhi pia vitu vya kale inaonekana pale kazi yake sio kulinda vitabu pekee bali ni pamoja na zile mali za kale wanatokea jamaa wanaiba kwenye hio library jamaa anajikuta kaingia kwenye adventure ya kutafuta treasure nyingine ili isifikiwe na wezi huko amazon.

Zipo mtindo ule wa
Pirates of carribean
Na indiana jones
 

Attachments

  • MV5BMTUyOTY5MDM0MF5BMl5BanBnXkFtZTgwNzU0MzAyNDM@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    298.1 KB · Views: 15
Ya mwaka gani mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…