Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,884
- 7,007
Ya kishamba piaIla Hawa jamaa wana mapenzi ya kitoto sana
Hii story inavutia...Pamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturuki
Alikufa kikatili sanaNamkubali sana mzee mmoja humu anaitwa Johnny Doggs
Boss kwema?Mbona Moviebox ipo hewani na inapiga kazi vizuri, au unazungumzia ipi iliyogoma kufanya kazi?
Moviebox ipo hewani bado.View attachment 3600742
WarldPamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturuki
Nipe link ya kushusha mkuuUnapenda anime kama mimi!?
Well, ukiona umeishiwa kabisa mchongo wa kuangalia, wapumzishe Wajapan kidogo. Wape nafasi Wachina, itafute hii bakora ya kuitwa LING CAGE.
Oyaaaah, hautojutia muda wako.
View attachment 3602474
Wabongo na fursa😃😃Nimeikuta mahali, wabongo washajiongeza😄 ila hata kama ndio nitoe elfu 50 kuangalia final episode kweliiii🙄
Imeisha hivi hii maana nilingojea zitoke zote ndo niishushe??Nimeikuta mahali, wabongo washajiongeza😄 ila hata kama ndio nitoe elfu 50 kuangalia final episode kweliiii🙄
Bado, tunasubiri ep ya 7Imeisha hivi hii maana nilingojea zitoke zote ndo niishushe??
Sawaa mkuuBado, tunasubiri ep ya 7
Hao waturuki wanipite
Story kali mzeeHao waturuki wanipite
Pole ila hiyo ni tamu mwanzo mwishoGuys hii Man on Fire nimeishia ep 3 mbona haina maajabu🙄 nimepose kwanza nikaingia kwenye the PRISONER nimeimaliza yoteeee kwa kweli nimeridhika, hii Man on fire niendelee nayo au niachane nayo????
Mimi nimeipakua kutoka kwenye app ya moviebox kiongozi.Nipe link ya kushusha mkuu
Kama una downloader unaweza kujaribu kuicheki hapa.Nipe link ya kushusha mkuu