Series (Special thread)

Siku hizi naingia chimbo nacheki madude bila kuibukia jamvini kwa hiyo updates nyingi zinanipita
Leta hiyo midude huko mqfichoni turuke nayo mkuu
Sikuhizi nimekuwa busy hadi nashindwa kujaa chini kuangalia series ila at least movie leo naweza kuangalia moja au mbili
Movie gani kali imetoka around March hadi this time, ya Action niangalie
Kuna hii inaitwa Apex, nimeiangalia hata sijaipenda
 
Apex nimeicheki pia

Hizi movies mpya mpya so far nimeangalia angalia.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…