Jamaa anasingiziwa kuwa ameua girlfriend wake moja kwa moja inamsababishia kwenda jela, akiwa huko anatafuta namna ya kutafuta ushahidi wa kuonesha kuwa Hana hatia na vile vile ajue yupi amehusika ili alipize kisasi oya sio poa kama mnajua vizuri movie za jela huwa hazinaga kazi mbovu
Mwaka juzi, Huyu matt murdock nimemtumia sana kama bot huko telegram kipindi nadownload movie kwenye simu, sikuwa najua wametumia jina la character na avatar yake😁 Mr Q
Mwaka juzi, Huyu matt murdock nimemtumia sana kama bot huko telegram kipindi nadownload movie kwenye simu, sikuwa najua wametumia jina la character na avatar yake😁 Mr Q