Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
Kuna singo moja hivi yupo kel hilson aloo sio powaa mtoto ana ziwa saa 6 aisee ile movie tamu mnoUkikuta series ina Blacks hivi, ujue humo mijegeje inatembezwa vibaya mno
alafu tena akiwa tyler perry, huyo jamaa huwa anawaza ngono tu kwenye series zakeUkikuta series ina Blacks hivi, ujue humo mijegeje inatembezwa vibaya mno
Duhh uko vizuri anko๐ฏHuwa nina utaratibu kila siku huwa nacheki movie za kuanzia miaka ya 1970 hadi 2003 kwa siku natizama hata 3 hadi 4 kama jana nilipita na kill bill voll zote mbili ya 2003 na 2004
Na leo natizama alien ya mwaka 1979 kisha nacheki na warbus ya 1985
Acha kabisa ๐Ukikuta series ina Blacks hivi, ujue humo mijegeje inatembezwa vibaya mno
Ukirudia movie za zamani raha sana mfano mzuri kuna movie hivi inaitwa Mean Girls ya 2004 sio poa humo ndani na kuna tambara linaitwa Full Metal Jacket hili la 1987 hukooDuhh uko vizuri anko๐ฏ
Nilishaicheki ni tamu balaa๐คค na TD jakes ndio producer huwezi amini! sijui ni kwanini kina kelly wanapenda sana haya mambo, kama kelly lowland naye si haba kwenye mea culpa๐Kuna singo moja hivi yupo kel hilson aloo sio powaa mtoto ana ziwa saa 6 aisee ile movie tamu mno
Inaitwa. Lust: A Seven Deadly Sins
Bibie alipigwa dekio kifuani aliloa na mvua๐
Seran hiki kichupa ushakicheki
Mambo haya matamu sana walaqhi ๐๐๐Nilishaicheki ni tamu balaa๐คค na TD jakes ndio producer huwezi amini! sijui ni kwanini kina kelly wanapenda sana haya mambo, kama kelly lowland naye si haba kwenye mea culpa๐
Mashoga sasa๐๐พalafu tena akiwa tyler perry, huyo jamaa huwa anawaza ngono tu kwenye series zake
Ili mimi na wewe akili zetu๐คฃ๐คฃ๐คฃMambo haya matamu sana walaqhi ๐๐๐
alafu tena akiwa tyler perry, huyo jamaa huwa anawaza ngono tu kwenye series zake
MIyeyusho mno mwana yuleMashoga sasa๐๐พ
๐๐๐๐๐ na hali hii ya hewa mjini daslamu inaruhusu kabisaIli mimi na wewe akili zetu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
SanaJamaa anaboa kwenye ushoga aisee
Wifi leo shenzi sana! Hata sienjoy mambo kabisa๐๐๐๐๐๐ na hali hii ya hewa mjini daslamu inaruhusu kabisa
Watu mnachimba hadi Unfamiliar umeicheki mi niliangalia tu blindly nkakuta nzuri..Hijacke S02 ndo alistahili hiyo late ya 6.5/10
Unfamiliar 9/10
Pole ndugu dah! Natamani tungepata hata kampani tupige kush na shisha๐๐Wifi leo shenzi sana! Hata sienjoy mambo kabisa๐
Aisee hebu fanya kweli nipunguze hizi stress๐Pole ndugu dah! Natamani tungepata hata kampani tupige kush na shisha๐๐
Niko hapa ๐๐View attachment 3561360
Hivi Depal ukowapi? Yani huyu jules ana hasira na kimmie, uncle norman naye anataka kuwasha moto kwa mallory si unakumbuka balaa lake la season uno? Sijapenda ilivyoishaa๐ซ
Depal ulikuwa wapi jana nlikuwa nakutafuta tule pilauNiko hapa ๐๐
Haikutakiwa kuisha kizembe vile unless kuna S3 itakuja.. me nataka Jules ajue nani alimsukuma Glen afu tuwe na vita mpya๐
Nataka Roy aendelee na mams ake Felicia mpk siku mke wa ndoa Mallory awachinje ๐๐
#This is chess and you still playing checkers.. checkmate MF ๐๐ watupe s3 bana