Series (Special thread)

Series ya kizungu: Memory of a killer

Jamaa ana ugonjwa wa kusahau alafu ana mtoto mmoja wa kike mkubwa na ameolewa, Familia yake haijui mishe ya ukweli ya Mzee na namna anvyojiweka huwezi kumjua ila nyuma ya pazia mishe yake ni muuaji wa kukodiwa na katili ile mbaya tofauti na personality anayoonekana na jamii. Oya hii series ni Kali sana ina story na mkono hatari ni ya mwaka huu 2026
 
Ninanataka vitu kama hivi sasa
 
 
Mie yule Babu ya season 1 alipokufa tu,nilipoteza interest ya hii series.
 
nimedownload toka juzi episode mbili za mwanzo ila sijaaianza hata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ