Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,247
Thank you ila Wakorea niliishia enzi za kina Lee Minho, Song II Kook, Jang Hyuk, Kim nam Gil yaan kiufupi kuanzia mwaka 2006 mpaka 2019.Hziyech22 nimeimaliza The art of sarah ni bonge la masterpiece ila mwisho kidogo sijafurahisha nitaka kujua jina lake halisi😃,
Seran Dr. Mariposa kama mnapenda series za kikorea nenda kaicheki ni nzuri
Kabisa jirani yangu 😎😎Weekend hii nimeirudia ili nisipitwe,
Nipo excited🥳🥳
Jirani inabidi tupaze sauti na sisi Kigamboni watuwekee jengo la Cinema jamani, nataka nikaicheki BRIDE ila naona mbali kichizi kwenda town
nimekuelewa unapenda action na romance ila za watu wazima wanajielewa hawa gen z mapenzi ya shuleni na leo wanachana kisa hajambiwa usiku mwema kesho wanarudiana huzipendi 😁Thank you ila Wakorea niliishia enzi za kina Lee Minho, Song II Kook, Jang Hyuk, Kim nam Gil yaan kiufupi kuanzia mwaka 2006 mpaka 2019.
Mkuu hii niliacha kuangalia toka 2020 yani wametoa S2 & S3 inabidi niianze upya ili niikumbuke aise. Ila moto wa mossad humu sio poaMosad wasela sana nipo tehran hapa season 3 sio powa
Jina lake kamili lipo kwenye story nzima yake pale alipoelezea mpaka wakabadilishana identity na yule mwenzake aliyekuwa anatengeneza handbagHziyech22 nimeimaliza The art of sarah ni bonge la masterpiece ila mwisho kidogo sijafurahisha nitaka kujua jina lake halisi😃,
Seran Dr. Mariposa kama mnapenda series za kikorea nenda kaicheki ni nzuri
Ngoja nika ireview hyo sehemu nichekiJina lake kamili lipo kwenye story nzima yake pale alipoelezea mpaka wakabadilishana identity na yule mwenzake aliyekuwa anatengeneza handbag
Mi huwa siziwekei maana sana, kama nikisoma stori kwa ufupi na kuangalia trailer nikaipenda naangalia tu sijali rating wala critics za watuNaomba kuuliza, hivi hizi ratings za imdb, rotten tomatoes etc, do they really matter? Mfano unakuta movie au tv show ina ratings ndogo ila watu wanaisifia sana japo ukiangalia ratings ziko chini. Pia kuna tv shows zenye rating kubwa ila zinastahili aise mfano 24, The Americans. worth watching them.
Wewe upo kama mimiMi huwa siziwekei maana sana, kama nikisoma stori kwa ufupi na kuangalia trailer nikaipenda naangalia tu sijali rating wala critics za watu
Ngoja nitaitafutadosho12 Kuna nyingine nakupa inaitwa "siren's kiss" nayo ni ya kikorea ni ongoing hiko hivi investigator mmoja anamfuatilia mdada ambaye kila mwanaume anayekuwa naye kwenye mahusiano huwa anakufa na kabla hawajafa beneficiary za insurance zinaelekezwa zilipwe kwake hiyo ndio inazaa sintofahamu bahati mbaya hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaonesha huyo mdada ndio anahusika na hizo vifo so hapo Kuna Siri nzito ipo hapo katikati ambayo hatujui.
Ukiangalia movie/series kwa kufuata ratings basi kuna vingi sana utakua unavikosa , movie yoyote yenye ushoga ndani yake utakuta inaratings kuanzia 85+Naomba kuuliza, hivi hizi ratings za imdb, rotten tomatoes etc, do they really matter? Mfano unakuta movie au tv show ina ratings ndogo ila watu wanaisifia sana japo ukiangalia ratings ziko chini. Pia kuna tv shows zenye rating kubwa ila zinastahili aise mfano 24, The Americans. worth watching them.