Series (Special thread)

Trailer yake imenivutia kesho naishusha
 
Kizungu Chao ni kile Cha akina Alexander na akina harry 😁😁😁. Pia mazingira yote namna y uvaaji n.k ni ladha za kwa malikia tupu
At least hii accent yake haisumbui kusikika nadhani kwasbabu hata ya stori kuzungumzia miaka ya zamani kabla slang azijaanza kuharibu lugha
 
Nilikua nasubiri Hijack season 2 ikamilike nianze kupata burudani, ila naona ngoja niisubirishe kwanza kwakua burudani ninayoitarajia haipo kwa mujibu wa maoni ya wadau😄
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…