Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,212
- 79,699
Ngoja nipite nayoVincenzo Jr Beberu la bando haya mambo Yako haya
Hisense wapo fresh sana kwenye mkv fileHalafu brand nyingi za Tv zinazingua sana kucheza 1080 na ikikubali basi unakuta ni format ya MP4
Ila MKV imekuwa nadra sana ila Hisense niliwahi kujaribu ika play fresh
Upo sawa Kuna muvi ukiishusha kwa 1080 kwenye tv Ina play ila unakuta mtu amekuwa mkubwa kwa kuvutika kwenda juu. Ukirekebisha fit to screen anakuwa kama amebonyezwa ili mradi tu iwe tafraniHalafu brand nyingi za Tv zinazingua sana kucheza 1080 na ikikubali basi unakuta ni format ya MP4
Ila MKV imekuwa nadra sana ila Hisense niliwahi kujaribu ika play fresh
Kuna siku nilishusha 4k file ila kwenye tv ya toshiba mzigo ulikuwa unacheza sauti tu watu sioniUpo sawa Kuna muvi ukiishusha kwa 1080 kwenye tv Ina play ila unakuta mtu amekuwa mkubwa kwa kuvutika kwenda juu. Ukirekebisha fit to screen anakuwa kama amebonyezwa ili mradi tu iwe tafrani
Kubabake ulikuwa unataka uone Hadi mishipa ya damu kwa ndani ya ngozi maana 4k si mchezoKuna siku nilishusha 4k file ila kwenye tv ya toshiba mzigo ulikuwa unacheza sauti tu watu sioni
Nilipoteza gb kama 8 hivi sio powa kakaKubabake ulikuwa unataka uone Hadi mishipa ya damu kwa ndani ya ngozi maana 4k si mchezo
Movie ya huzuni kuangalia na hapo sikuambiwa kabla ilikua Miracle in cell no7 Turkish version nililia niliumia ilinikaa kichwani wiki nzima, ila niliwahi pia kucheki LION na THE JUNGLE no zinaumiza sana hasa ukizingatia ni true story.Haha nyinyi c mnasema just anime, hyo anime ni top 3 ya saddest movie ever created
Straw niliiangalia ila kawaida sana sielewi watu mnalia kipande kipi walai, mimi naona Acrimony iko far better than Straw na Acrimony nimeiweka one of my top fav movie of all the time.Nilijitia kiherehere kuangalia movie ya Taraj Straw nilikuwa nalia kama mwehuπͺ wa kunibembeleza ndio hayupo π«
Duhh mimi straw niliambiwa tu inaliza na kweli kuiweka nikawa naliaππ labda hukuangalia ukiwa peke yako!Straw niliiangalia ila kawaida sana sielewi watu mnalia kipande kipi walai, mimi naona Acrimony iko far better than Straw na Acrimony nimeiweka one of my top fav movie of all the time.
Niliangalia peke yangu mara ya kwanza, ya pili nikaangalia na dada zangu ndio kwaanza wakasinziaπDuhh mimi straw niliambiwa tu inaliza na kweli kuiweka nikawa naliaππ labda hukuangalia ukiwa peke yako!
Hii ni maajabu πNiliangalia peke yangu mara ya kwanza, ya pili nikaangalia na dada zangu ndio kwaanza wakasinziaπ
Pata mda tazama MANCHESTER BY THE SEA ππΎMovie ya huzuni kuangalia na hapo sikuambiwa kabla ilikua Miracle in cell no7 Turkish version nililia niliumia ilinikaa kichwani wiki nzima, ila niliwahi pia kucheki LION na THE JUNGLE no zinaumiza sana hasa ukizingatia ni true story.
HellNOPata mda tazama MANCHESTER BY THE SEA ππΎ
ππ try something emotional you need to boost your empathy.HellNO
Season 7! Paradise gani mimi niliyoiona ni ya mwaka jana na sasa hivi imetoka season 2Paradise ni nzuri? Ina season 7π± hiki kibaridi kitanifaa nikirudi nijifungie nayo ndani Dr. Mariposa
Woiii! I meant Outlander!Season 7! Paradise gani mimi niliyoiona ni ya mwaka jana na sasa hivi imetoka season 2
Hahaha sijaiona halafu hua naipita tu, tena 8 season inakuja kazi unayooo, utanihadithiaWoiii! I meant Outlander!
Ndio nipate huo muda wa kukesha na season 7π€¦π½ββοΈHahaha sijaiona halafu hua naipita tu, tena 8 season inakuja kazi unayooo, utanihadithia