Hmm heri kustream tu..Huku 1080 ina 4gb
View attachment 3551605
Imetoka last weekYa mwaka gani hii mkuu
Nimeion trailer yake naona Kuna mrembo anatndza kichapo πImetoka last week
Yeah ya Mzee mmoja hivi ambaye ni retire soldier na roho ngumu kama SisuHellfire ya wazeeπ¬
Siku hizi nimekuwa mtu wa ku stream baada ya kuona sina tena Storage ya kutoshaHmm heri kustream tu..
Na hii ngoja niishusheYeah ya Mzee mmoja hivi ambaye ni retire soldier na roho ngumu kama Sisu
Alienda kuweka utulivu kwenye mji mdogo ambao ulikuwa umeharibiwa na familia moja inayo run biashara za madawa.
End of the day anakuja kugundua aliyechora ramani ya kuchomeshwa vitani mpaka kupelekea kupoteza wanajeshi wengi kumbe ndio Co wa mji.
Mi Kudownload nilishashindwaπSiku hizi nimekuwa mtu wa ku stream baada ya kuona sina tena Storage ya kutosha
Priyanka chopra huyo! Ame upgrade vibaya mno!Nimeion trailer yake naona Kuna mrembo anatndza kichapo π
Niliangalia mpaka mwisho hata yule askari anayetumika na wauza ngada walimuua wenyewe! Ila ni ya wazeeπYeah ya Mzee mmoja hivi ambaye ni retire soldier na roho ngumu kama Sisu
Alienda kuweka utulivu kwenye mji mdogo ambao ulikuwa umeharibiwa na familia moja inayo run biashara za madawa.
End of the day anakuja kugundua aliyechora ramani ya kuchomeshwa vitani mpaka kupelekea kupoteza wanajeshi wengi kumbe ndio Co wa mji.
Vincenzo Jr Beberu la bando haya mambo Yako hayaWazee wa roho ngumu wasiokuwa na huruma na MB zao hapa kuna 4GB za Shelter hii ni directly link
Gofile - Cloud Storage Made Simple
Secure, fast and free cloud storage solution. Upload and share files instantly.gofile.io
Nime update link hapo ukigusa hiyo 2 ni moja kwa moja una downloadWazee wa roho ngumu wasiokuwa na huruma na MB zao hapa kuna 4GB za Shelter hii ni directly link
Gofile - Cloud Storage Made Simple
Secure, fast and free cloud storage solution. Upload and share files instantly.gofile.io
Link 2
Shelter
720 Utaona kweli?View attachment 3551702
Nimeichukua huyu mzee kwa quality hii
43inch TV inatosha ku display hiyo 720 vizuri kabisa πππ Kuna movies kama hiyo shelter nimeichukua 1080 so sio Kila movie nitaichukua kwa quality hii au ile720 Utaona kweli?
Au unatumia binocular ya Galileo?
skari alikuwa mpuuzi licha ya kujua mauaji yalifanywa na mtoto wa boss lakini bado akataka kumkabidhisha kwa ma nyemela wa unga wammalizeNiliangalia mpaka mwisho hata yule askari anayetumika na wauza ngada walimuua wenyewe! Ila ni ya wazeeπ
Halafu brand nyingi za Tv zinazingua sana kucheza 1080 na ikikubali basi unakuta ni format ya MP44
43inch TV inatosha ku display hiyo 720 vizuri kabisa πππ Kuna movies kama hiyo shelter nimeichukua 1080 so sio Kila movie nitaichukua kwa quality hii au ile
Alijichanganya tangu mwanzo alipoanza kumfatilia huyo jamaa, jamaa naye kumbe kamshtukia mapema sana, ndio maana akaishia kuliwa kichwa mwenyewe!skari alikuwa mpuuzi licha ya kujua mauaji yalifanywa na mtoto wa boss lakini bado akataka kumkabidhisha kwa ma nyemela wa unga wammalize
Lakini mbeleni Ofsa ni kama akili zilianza kumjia nahisi alifeel guilty ila ndio ikawa too late kwake.