Series (Special thread)

Ina vijimambo japo haiweki kusikia dark desire na 365 😜

Tyler Perry’s sistaz nimeangalia tangu nipo chuo ni ndefu ina season sijui 9πŸ˜… ni nzuri ndio drama nyingi sana..
Nimempenda Zec 😁
Nitaitafutia muda… hiyo ingine nitaangalia April 😁😁
 
Mr Q Depal Dr. Mariposa Vincenzo Jr Seran Carleen
β€ŽNight of the haunted, [ drama, mystery ] ( 2023 )
β€Ž
β€ŽAlice ni mfanyakazi kwenye shirika la madawa, akiwa anatoka kwenye seminar usiku mida ya saa nane yupo na mfanyakazi mwenzake wanaenda super market kuchukua baadhi ya vitu na pia kuweka mafuta kwenye gari, ila bahati mbaya wanashambuliwa na sniper na mfanyakazi mwenzake anakufa, Alice akiwa hajui ni nani na kwa nini kashambuliwa ila sniper akiwa anamjua, hivyo usiku mzima alice anahangaika kujiokoa kwa sniper huyo huku akijaribu kujua ni nani na kwa nini anamfanyia hivyo
 
Tumkumbuke mwanzilishi wa Uzi huu Viol.
Comment yake ya mwisho ilikuwa 2023 huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…