Na mimi naweza sema niko pamoja nawe.
Nimecheki s01 ila sioni km nitaweza endelea na s02. Story ni nzuri isipokua uigizaji na matukio ni ya kawaida sana, sio km nilivyotegemea.
Itahitaji mtu anishawishi sana mpka niendelee kuangalia s02.
VIjana wamesepa na laputopu yangu mixer ruta vijana wa kigamboni hawana maana kabisa nitazimisi sana movie kingine sijui kazi za watu ofisini itakuwaje