ahsante kwa maelezo mazuri ndugu yangu..!Kwanza jua power zipo book 4
Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq
Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs
Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake kabla hajawa kingpin kwenye drugs na kuwafundisha wakina ghost na Tommy (mchizi wake ghost)
Power book4(Force) hii sasa inamuhusu Tommy baada ya Ghost kufa akaamua kuhama kutoka New York maana alikuwa most wanted akahamia Chicago kuanza tena harakati zake za drugs, apo pichani ni Tariq alipigiwa simu ya msaada kutoka kwa Tommy aje amsaidie maana walikuwa wanaenda kwenye street war ili ampige tafu akaomba aje kutoka NYC to Chi Town apo ndo kafika kukinukisha
Iko kipande juu watu walifurahi maana kwanza wengi walimiss kumuona Tariq pia apo ilikuwa Tommy afe maana alikuwa amezingirwa, hii nmesoma baadhi ya comment kwenye post za iko kipande
You're welcome Lady...ahsante kwa maelezo mazuri ndugu yangu..!
Yes kuhusu hizo Books naelewa wala hakuna shaka..
ila toka nilivyomalizana na Power Book II sikuendelea nayo tena, sababu ya Ghost kutolewa na pia Kanan was not my fav..!
at least tommy was my fav na madawa yake anayokula na his anger issues, japo sasa ile mood ya Power ilikuwa ishaondoka..’
nilivyoona comment yako I thought Ghost amekuwa resurrected walaqhi ningerudi kutazama tena,
but this has been appreciated mzee mwenzangu..!
Na kuna POWER:ORIGIN hii itakua inawahusu story ya GHOST na TOMMY tangu wakiwa chuo wanaanza harakati za madawaKwanza jua power zipo book 4
Power book 1 hii ndo yupo ghost ambaye mwishon wa season anauliwa na mtoto wake Tariq
Power book 2(Ghost) hii inamuhusu Tariq nae ameamua kuanza kufanya ishu za Drugs
Power book3 ( Raising Kanan) hii inamuhusu Kanan(50 cent) life lake tangu utoto na familia yake kabla hajawa kingpin kwenye drugs na kuwafundisha wakina ghost na Tommy (mchizi wake ghost)
Power book4(Force) hii sasa inamuhusu Tommy baada ya Ghost kufa akaamua kuhama kutoka New York maana alikuwa most wanted akahamia Chicago kuanza tena harakati zake za drugs, apo pichani ni Tariq alipigiwa simu ya msaada kutoka kwa Tommy aje amsaidie maana walikuwa wanaenda kwenye street war ili ampige tafu akaomba aje kutoka NYC to Chi Town apo ndo kafika kukinukisha
Iko kipande juu watu walifurahi maana kwanza wengi walimiss kumuona Tariq pia apo ilikuwa Tommy afe maana alikuwa amezingirwa, hii nmesoma baadhi ya comment kwenye post za iko kipande
Naona washatoa episode moja, ngoja niishi nayoHii ni moja sequel ya GAME OF THRONES, ila humu ndani hakuna uchawi wala mambo ya madragoni
Hii sita itazamaHii ni moja sequel ya GAME OF THRONES, ila humu ndani hakuna uchawi wala mambo ya madragoni
Category Gani?Episode zote 6 zimetoka
Wailete tutapita nayoNa kuna POWER:ORIGIN hii itakua inawahusu story ya GHOST na TOMMY tangu wakiwa chuo wanaanza harakati za madawa
Tumia simu 🤣Mnapataga mda gan kuangalia series? Mbona kama Mimi nimekua kishoia hata kutizama tv
😅 na unawacheka wanaozima data ni age went, mi najua wazee ndio wanasinzia wakiangalia TvTumia simu 🤣
Me nikiangalia movie na Tv nasinziaa
Tv naangalia jua kali tu na You tube miziki…
Yaan kukaa chini kuangalia TV mmh nakua nimechoka nashikaga simu yangu na hata kwenye simu siwez angalia nitaishia jamiiforums ☺️Tumia simu 🤣
Me nikiangalia movie na Tv nasinziaa
Tv naangalia jua kali tu na You tube miziki…
Kwahiyo Dosho kuzima data na kusinzia kwenye Tv viko sawa 🤣🤣😅 na unawacheka wanaozima data ni age went, mi najua wazee ndio wanasinzia wakiangalia Tv
Labda kama unachoka na majukumu.. haya mambo nayo sometimes ni hobby, pengine yako ipo kwenye kuperuzi..Yaan kukaa chini kuangalia TV mmh nakua nimechoka nashikaga simu yangu na hata kwenye simu siwez angalia nitaishia jamiiforums ☺️
😁haya bwanaKwahiyo Dosho kuzima data na kusinzia kwenye Tv viko sawa 🤣🤣
Hapa enyewe Tv tangu nimeizima jumapili, hadi leo sijaiwasha
Uliicheck The Equalizer? Niko S3 Ep za mbele mbele. Mzigo ni mkali😁haya bwana
Bado sijaicheki siku hzi nimekuwa mvivu wa kuangalia series,Uliicheck The Equalizer? Niko S3 Ep za mbele mbele. Mzigo ni mkali
Unachelewa
Ushakuwa muhenga 😃Bado sijaicheki siku hzi nimekuwa mvivu wa kuangalia series,