Series (Special thread)

‎Kama hujawahi kuiona itafute enjoy au uchanganyikiwe😁 kama ushaiona si mbaya kuirudia Carleen Mr Q Vincenzo Jr
Seran Depal Angel Nylon

TENET (sci-fi) 2020

‎Ni movie inayohusu technologia inayoweza kurudisha watu na vitu nyuma
‎Huku ikienda tofauti na kanuni ya Cause and effect na kuwa effect inaanza kisha cause ila bado iki fuata murphys law "what happend happen" hivyo hakuna kubadilisha kitu kila unachofanya ulipaswa kufanya

‎The protagonist anapewa mission ya kutafuta ni nani anayesambaza risasi zinazoweza kurudi nyuma ya muda (inverted bullet) pia kuzuia vita atakayokuja itayoweza kuangamiza dunia nzima

‎Ni movie nzuri kama unapenda movie za sci-fi, ila inahitaji utulivu zaidi na unaangalia zaidi ya mara moja maana inachanganya, ila kama uliangalia series ya dark ukaelewa na kuipenda hii pia utaelewa tu
 
Ipo kwenye PC baadae nairudia nikishavuta mambo yangu
 
‎The Blackening ( horror, comedy ) 2022

‎Ni movie inayoeleza jinsi black people wanavyo react kwenye situation ya horror

‎Marafiki wanandaa sherehe yao ya reunion kwenye nyumba moja nje ya mji ila huko wanakutana na watu wanaotaka kuwaua hivyo wana hangaika ku survive

‎Nenda kaangalie kama hujawahi kuiona uta enjoy ina comedy hasa dark humour kwenye racism
 
😂😂😂
umenikumbusha mbali mno ndugu yangu, niliwahi itazama enzi hizo nikahisi nadata, hangaika na wewe natoka patupu, nikaja search humu JF, nikakuta imezungumziwa pia na kuna wenye charge akilini wakaielezea,

nikajionea tu, ‘ya nini mieeee…? labda sahii nirudie kutazama na hizi akili za AI na VPN ndiyo naweza toboa..!
 
Mi niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa 😁
 
Nimerudia copshop Kuna serial killer au psychopath mmoja hivi anaua kimaskhara.

Hiyo TENET hapana aisee siwezi kuirudia
 

Itanibidi namimi niione😂 Sijawahi shindwa kuangalia ila horror iliyonishinda kuangalia ni thrilled III tu😱
 
Sijui sio mpenzi au vipi ila hapo Outer Banks ilinishinda nadhan niliishia season 1, pretty little liars pia ilinishinda, hizo zingine nazipitaga tu kama sizioni....
Nakuongezea na hii Old ya mwaka 2021, Just go with it 2011 ni comedy hua nacheka sana....

Btw, guys naombeni Comedy movies sio series nataka nicheke sana
 
Dumb and dumber😆
Man vs baby
Man vs bee
White chicks nimeona nikiwa primary hukoo
Central intelligence
Naked
Knives out
Inheritence
The union action na comedy imo😅
 
Dumb and dumber😆
Man vs baby
Man vs bee
White chicks nimeona nikiwa primary hukoo
Central intelligence
Naked
Knives out
Inheritence
The union action na comedy imo😅
Man vs Baby naishusha sasa hivi niliona wakati inatoka ila nilisahau kuipakua,
Hii Naked ya mwaka gani?
Inheritance naletewa thriller ya 2020,
The rest nishaziona

Nakuongezea,
1. People We Meet on Vacation 2026
2. Good Fortune 2025
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…