Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,795
Afu mwishoni anajua kuwa alikuwa anakosea aliyoyafanya 😃😃😃 sema jamaa mkewe kawekwa sana hata ningekuwa Mimi nakutoa roho mwana alikuwa sahihiNdio hii ya 2022? Hmm sijaiona😁
Ninaangalia apa highlights aisee ni tamu🥵
Sema huyu mke wake anapenda kutiwa jamn 🙌🏾
Mwanaume wake anaua kila anaecheat naye..
Huyu melinda nimemuona movie nyingi nampenda
Inachekesha sana aisee😃😃😃Nitaitizama pia inakaa nzuri
Zingine hizi hapaNdio hii ya 2022? Hmm sijaiona😁
Ninaangalia apa highlights aisee ni tamu🥵
Sema huyu mke wake anapenda kutiwa jamn 🙌🏾
Mwanaume wake anaua kila anaecheat naye..
Huyu melinda nimemuona movie nyingi nampenda
Why was she cheating like that😱
Mbona kama alikuwa anajua, anamuangalia usoni kabisa😨Afu mwishoni anajua kuwa alikuwa anakosea aliyoyafanya 😃😃😃 sema jamaa mkewe kawekwa sana hata ningekuwa Mimi nakutoa roho mwana alikuwa sahihi
Asanteee😍Zingine hizi hapa
125 Sexiest Movies Of All Time
From overwhelming romance to star-powered chemistry to hot and steamy scenes, it's sexy time at the movies!editorial.rottentomatoes.com
😃😃😃 Sema ukimiliki mwanamke wa aina ile jiandae kwa lolote aisee 😀Mbona kama alikuwa anajua, anamuangalia usini kabisa
Alikuwa na hatari sana😫😃😃😃 Sema ukimiliki mwanamke wa aina ile jiandae kwa lolote aisee 😀
Sana sema alikuwa mtundu sana wa jambo lile😎Alikuwa na hatari sana😫
Nipo apa naangalia ni noma🔥Sana sema alikuwa mtundu sana wa jambo lile😎
Humo ni mkono na ngono, utakutana na mtu bad anaitwa Ragnar, utakutana na Rollo mzee wa action utakutana na Floki yeye muda wote ana furaha tu hata akiua mtu anafurahi huku anasisimka😆😆😆Ina uchawiuchawi na mambo kma hayo?
Itabidi tupate a night movie me and you, umenikoshaaaa🎊Naipenda sana! Na kuna vikings Valhalla
Kuna see, the last kingdom.. zipo nyingi kali sana..
Wameicancell dahViking Valhalla Kali kinoma yaani
Kwangu Vikings iliisha baada ya kifo cha Ragnar.. hiyo generation ya akina Ivar sikuifurahia sana na ndo sababu niliishia kati.Humo ni mkono na ngono, utakutana na mtu bad anaitwa Ragnar, utakutana na Rollo mzee wa action utakutana na Floki yeye muda wote ana furaha tu hata akiua mtu anafurahi huku anasisimka😆😆😆
Mbele mbele huko utakutana na kijana mdogo sana ila ana mambo mazito hadi shetan alikaa mbali IVAR THE BONELESS oyaaaa nisikumalizie uhondo🙌🏻
Huwezi amini nimeanza kuirudia tena nadhan kwa mara ya 20 now
Say less 😌Itabidi tupate a night movie me and you, umenikoshaaaa🎊
Plot twist ya kwenye hii series ya His and Hers ni level nyingine kabisa.
MIni series bora kabisa, ukiishika hadi umalizePlot twist ya kwenye hii series ya His and Hers ni level nyingine kabisa.
Yes, kifo cha Ragnar kila mtu alishtuka na alidhani story ingekua mbaya ila Ivar aliibeba show vizuri sana na watazamaji waliongezeka, ndio maana mpaka leo VIKINGS ipo kwenye moja ya best series.Kwangu Vikings iliisha baada ya kifo cha Ragnar.. hiyo generation ya akina Ivar sikuifurahia sana na ndo sababu niliishia kati.
Huyo ndio yule dogo mlemavu aliekula wale mapacha mmoja alikuwa mrusi mwingine alinyonga?Yes, kifo cha Ragnar kila mtu alishtuka na alidhani story ingekua mbaya ila Ivar aliibeba show vizuri sana na watazamaji waliongezeka, ndio maana mpaka leo VIKINGS ipo kwenye moja ya best series.
Enjoy the show 😎Nipo apa naangalia ni noma🔥
Floki mzee wa mizimuHumo ni mkono na ngono, utakutana na mtu bad anaitwa Ragnar, utakutana na Rollo mzee wa action utakutana na Floki yeye muda wote ana furaha tu hata akiua mtu anafurahi huku anasisimka😆😆😆
Mbele mbele huko utakutana na kijana mdogo sana ila ana mambo mazito hadi shetan alikaa mbali IVAR THE BONELESS oyaaaa nisikumalizie uhondo🙌🏻
Huwezi amini nimeanza kuirudia tena nadhan kwa mara ya 20 now