Series (Special thread)

Summary 😁😁
Msichana anayeitwa Noah anahamia kwenye familia nyingine na mji mwingine baada ya mama yake kuolewa tena kwenye familia yenye pesa na huko anakutana na mtoto wa baba yake mpya, akiwa kwenye party ya marafiki wapya anatumiwa picha ya aliyekuwa jamaa yake akiwa na msichana mwingine hivyo akataka na yeye amuenyeshee kama ana mtu mwingine hivyo akatafuta jamaa yyte hapo kwenye party ila mtoto wa baba yake wa kambo anawajua watu hapo sio wazuri hivyo (this is disgusting 😁 ) ana amua kujitolea yeye na anampiga busu dada yake wa kambo na anamtua jamaa na mdogo mdogo hawa watu wanaanza kupendana 😁.
 
Jana nimekata EP mbili shukrani sana brother 😎
 
Hapoo hapoo kwenye busu. Najua halikuwa la juu juu, hizo race na mabusu uwiii.
Wacha niicheck hapa km nitaipata Moviebox
 
Hapoo hapoo kwenye busu. Najua halikuwa la juu juu, hizo race na mabusu uwiii.
Wacha niicheck hapa km nitaipata Moviebox
Najua unapenda drifting hivyo nikaona inakufaa πŸ˜ƒ
 
Daah movie za hivi zinanipa shida sana kuzifuatilia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…