Series (Special thread)

Person of interest ndio namba 4 yangu kwa ubora mkuu..waiendeleze tu
 
Tafadhari naomba mnisaidie website ya kudownload nlikuwa natumia pirate bay sasa naona ipo down, kama kuna nyingine naomba tafadhari
 
Exactly, yaani 24 ilituharibu kweli now kila kitu cha kawaidaaa, ukijumlisha na huu ushoga wao ndio kabisaaa!
Naomba kufahamu kama kuna series iliyotoka mwaka huu, 2016
 
Mkuu naomba kuunganishwa kwenye group LA series no yangu 0759723497
 
Ni kweli prison break inarudi tena?, maana ilinibamba sana, Jamaa walikuwa wabunifu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…