Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,847
Nilikuwa nimekula konyagi aisee π π π Asante kwa kunikumbusha brotherAlice ni ya japan vini, Angel Nylon
Angalia usije ukaona chupa uliyoinywa iko vile vile haijafunguliwa πNilikuwa nimekula konyagi aisee π π π Asante kwa kunikumbusha brother
Nitakimbia hii bar nilipo πππAngalia usije ukaona chupa uliyoinywa iko vile vile haijafunguliwa π
Hata sielewi why....naangalia series tofauti tofauti lkn Korean nope....Naona wamenikalia kushoto...hhhhKwa nini mbona ni nzuri tu
Wajapani hao series yao kaliOooh OK, ndio nimeona jana....nikajua Season za nyuma
me hii sijawahi kuangalia. Ni Korean? right?
Mkuu hivi hii series Ina EP 6 au 8 maana Kila site wameweka 6 afu kwenye Netflix zipo 8Wajapani hao series yao kali
Mmmhhh. Labda utanishawishi. Halafu za nyuma sijaangalia sasa ndio nitazidi kuona uvivuWajapani hao series yao kali
Ni Kali sana mpemba π πMmmhhh. Labda utanishawishi. Halafu za nyuma sijaangalia sasa ndio nitazidi kuona uvivu
Angalieni Halafu mtanihadithia
Vincenzo Jr dosho12
karibu sana mkuu,Came across hii β Reasonable Doubtβ ni ya 2022, sijawahi ifahamu ila episode 6 za mwanzo imenivutia, nzuri
Maelezo hapo Yana mkwala mizito ngoja nikachrki trelaView attachment 3479504
Sisu mwingine huyu ππ
SISU like movie?View attachment 3479504
Sisu mwingine huyu ππ
Kuna moja inaitwa Night has come (Horror) itafute ni nzuri ina episode 12, alafu episode zake ni fupi fupi, dakika 35 tu, inahusu wanafunzi walienda kwenye trip ya shule kwenye jengo moja, humo walivyofika wakaletewa link ya kujiunga kwenye game moja linaitwa Mafia, masharti yake ni kila siku wamgundue mafia na kumpigia kura mwenye kura nyingi ikifika saa sita usiku anakufa na asiyepiga kura na yeye anakufa mwanzoni walijua ni game la kawaida ila walivyo anza kufa ndio wakajua ni seriousHata sielewi why....naangalia series tofauti tofauti lkn Korean nope....Naona wamenikalia kushoto...hhhh
Soul Goodman ana balaa sana yule muhuni ππGuys nilikua sijaangalia Better call Saul aisee nimejuta kuchelewa kuiona, season 4 now stillπ₯π₯π₯