Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Kaka umechelewa sana hii series kalii sana π₯ π₯Ngoja nijilazimisheView attachment 3467728
Kaka hii usithubu hamna kituFaza Denzel Washington ametuletea hii sijui ikoje ngoja niishushe
View attachment 3467679
Exactly π― brother hii series ni Kali sanaKuna wale walinzi waliambiwa wapambane wale majitu yasipite mlangoni salute sana kwao wale jamaa walifia mlangoni kwa order maalum wakifanikisha amriπͺπ«‘
GOT ni series kalii sana π₯βWinter is coming. We know what is coming with itβ
Hii pamoja na SEE nazikubali sana.GOT ni series kalii sana π₯
Hata Mimi mkuu apple series wana series kalii sanaHii pamoja na SEE nazikubali sana.
Ngoja nikitulia nizirudie aisee.Hata Mimi mkuu apple series wana series kalii sana
Yule dogo miyeyusho sana πNimemalizana na Defending Jacob..
Ni kali sana, ila najiuliza mbona mwishoni wametuacha na maswali tunashindwa kuelewa km dogo ni innocent au la..
Ni innocent. Kosa lake pamoja na baba yake ni kukalia taarifa kwa kumhofia mafia. Hata ingekuwa wewe ungeenda kujiripoti wakati umekuta mwana mtandao Yuko hapo hapo polisi? πππNimemalizana na Defending Jacob..
Ni kali sana, ila najiuliza mbona mwishoni wametuacha na maswali tunashindwa kuelewa km dogo ni innocent au la..
Kwenye kitabu walimaliza vizuri kidogo.. inaonekana baada ya ile ajali Jacob hakupona alipoteza maisha kabisa, ila mama yake alipona.. sababu ikaja kuonekana mama yake alifanya uamuzi ule kwa kutambua Jacob alikua guilty na hakutaka ile mystery iendelee.Ni innocent. Kosa lake pamoja na baba yake ni kukalia taarifa kwa kumhofia mafia. Hata ingekuwa wewe ungeenda kujiripoti wakati umekuta mwana mtandao Yuko hapo hapo polisi? πππ
Hii horror inahusisha watu kufanyiana unyama au inahusisha vitu visivyo eleweka?
Visivyoeleweka πππHii horror inahusisha watu kufanyiana unyama au inahusisha vitu visivyo eleweka?
Inshallah kaka ikitoka naleta linkChangamoto itakuwa lugha wapendwa ila CHUMA kimetulia. October 8 twakutana na NΓRO THE ASSASSIN
View: https://youtu.be/B5Na9Ehd0QU?si=rgG8eKBUdkktXBHp
Vincenzo Jr ikitokea tujulishane tuone kama itakuwepi ya kingereza