Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Ebhana eeeeh apo hutojutia mwanawane icho ni kigongo haswaa, hutojutia mb wala muda wako season mwanzo mwisho mshikemshike sikumbuki imepoa wapi...naomba link ya series ya the american ya hao FBI mm kila napo tafuta siipati bro
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Asante mkuuPitia hapa crime
Naunga mkono hojaEbhana eeeeh apo hutojutia mwanawane icho ni kigongo haswaa, hutojutia mb wala muda wako season mwanzo mwisho mshikemshike sikumbuki imepoa wapi...
Hii ni movie ambayo hadi Wamarekani humo ndani wameonyeshwa kuwa kuna muda spy wao nao wanazidiwa akili na Warusi, Maana hawa jamaa movie zao zote wanadogodesha mataifa mengine mfno ukiangalia movie kama Jack Ryan yaan mwanzo mwisho jamaa wapo na akili wao tu sasa si kujibrand ukoNaunga mkono hoja
Mule wa Russia waliupiga mwingi sana yule Elizabeth aliupiga mwingi vibaya sana afu ile ni true story kipindi kile cha Cold war ilitokea kweliHii ni movie ambayo hadi Wamarekani humo ndani wameonyeshwa kuwa kuna muda spy wao nao wanazidiwa akili na Warusi, Maana hawa jamaa movie zao zote wanadogodesha mataifa mengine mfno ukiangalia movie kama Jack Ryan yaan mwanzo mwisho jamaa wapo na akili wao tu sasa si kujibrand uko
Yule FBI jirani yao alichoka sana alivyogundua illegal spy ni majirani zake.Mule wa Russia waliupiga mwingi sana yule Elizabeth aliupiga mwingi vibaya sana afu ile ni true story kipindi kile cha Cold war ilitokea kweli
Mwanzoni pale aliwahisi lakini akaona sio wao anakuja kugundua mwishoni kuwa ni wao sema yule Binti Yao alichagua kubakia marekani ππYule FBI jirani yao alichoka sana alivyogundua illegal spy ni majirani zake.
Ngoja kwanza niianze tenaπ
Bint mbishi yule sijaona alimwadithia hadi pastor wake, kuna muda walimtrain awe illegal spy na yeyeMwanzoni pale aliwahisi lakini akaona sio wao anakuja kugundua mwishoni kuwa ni wao sema yule Binti Yao alichagua kubakia marekani
Dogo alitaka kuwachoma wazazi wake mshenzi San yule sema Kuna muda Elizabeth alikuwa na wivu kwa mumewe eti kisa anamgonga yule bibie mfanyakazi wa FBI wanawake bwana πππkumbe mwana yupo kaziniBint mbishi yule sijaona alimwadithia hadi pastor wake, kuna muda walimtrain awe illegal spy na yeye
Dogo alitaka kuwachoma wazazi wake mshenzi San yule sema Kuna muda Elizabeth alikuwa na wivu kwa mumewe eti kisa anamgonga yule bibie mfanyakazi wa FBI wanawake bwanakumbe mwana yupo kazini
Yule bi dada aliye olewa alikuwa na ashiki sana akihitaji mwana alikuwa anapigiwa simu πππ afu yule mwishoni walimpeleka Russia πππkale katoto kalikuwa kadogo sana kalikuwa katoto ka mkuu wa CIA kwa nchi nyingine, kale Philip alikuwa hataki kukala kenyewe kapo hot muda wote kanautaka mchizi anakakwepa.
Sema ile kazi haiitaji wivu aseee yule Elizabeth kapigwa miti kwenye kufatilia intel pia Phillips kapeleka sana moto kwa wadada kuna yule hadi aliolewa kabisa na Best maid alikuwa(Elizabeth) sasa imagine mkeo halali anakuwa pembeni ya mwanamke unaemuoa ili upate taarifa za kipelelez, ile movie nyoko
nina kadhaa namalizana nazo ndiyo nije kushuka na huo mzigo..!πKumbe the terminal list dark wolf imefikia EP ya 4 uvumilivu umenishinda ngoja niruke nayo Cc Carleen dosho12 if cap fits Angel Nylon Mr Q
View attachment 3467373
Ukimaliza pitia na twisted metal ipo vizuri sana πnina kadhaa namalizana nazo ndiyo nije kushuka na huo mzigo..!π
nishuke nao jumla jumla..!
nimeona hii mmeisifia sana humu ndani jamani..!!Ukimaliza pitia na twisted metal ipo vizuri sana π
Achana nayo hamna kitu humonimeona hii mmeisifia sana humu ndani jamani..!!
dah ume feli kinoma, sema to each their own.Poleni na mkata switch ila
The Americans ilinishinda
Penguin ilinishinda
Primeval ilinishinda
Homland ilinishinda
Peaky blinders ilinishinda
Nyie mmeweza vipi kuzipenda?
Now masonga na untamed nakula utalii pamoja na detectives