Series (Special thread)

Nimeangalia Hostage. Huyu Prime minister na President wa Ufaransa ni wamama kabisa ila wanafaa sana kulika. Sijui kwann mabimkubwa kule Ulaya wanazeeka na utamu wao🥳
 
Natafuta series ndefu kali iwe yenye at least series 3 nakueendelea naombeni msada wenu hapa najuta kuangalia sana series mpaka sioni hipi ya kuangalia
mi-ni series hazina radha tena
 
Natafuta series ndefu kali iwe yenye at least series 3 nakueendelea naombeni msada wenu hapa najuta kuangalia sana series mpaka sioni hipi ya kuangalia
mi-ni series hazina radha tena
Za maudhui yapi mkuu, au yoyote tu
 
Yoyote tu ila napendelea crimes
Kwenye crimes wasubiri Mr Q Living Pablo Vincenzo Jr ndio wanajua nyingi za hivyo, ila za mchanganyiko, kuna 1. The witcher, 2. Outpost, 3. The 100, 4. Siren, 5. Tehran, 6. Stranger things, 7. Snowpiercer, 8. 13 reasons why. Hzo ndio nazokumbuka kwa sasa. Zicheki trailer moja moja uone kama utazipenda
 
Natafuta series ndefu kali iwe yenye at least series 3 nakueendelea naombeni msada wenu hapa najuta kuangalia sana series mpaka sioni hipi ya kuangalia
mi-ni series hazina radha tena
List ni ndefu sana kuna izi apa baadhi
1.Power book 1-4
2.Snowfall
3. Narcos
4.El Chapo
5.Gangs of London
6.Better call saul
7.The Blacklist
8.BMF
9.The Soprano
10.Revolution
11.Banshee
12. Peaky Blinders
zipo nyingi sana izo baadhi nyingine wataongezea Vincenzo Jr Mr Q Ndege Tai @n.k
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…