Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,656
- 23,134
Mmefanana walahi๐
sitaki, angel gani huyo atii๐ฆ
Angel Nylon huyo... toto la kihalfcast ๐sitaki, angel gani huyo atii๐ฆ
Toto la kipemba ๐Angel Nylon huyo... toto la kihalfcast ๐
Mi nisha zoea Cheichei, hiyo good morning tuta kata ulimi๐Angel Nylon huyo... toto la kihalfcast ๐
Utazoea tu. Mdogo mdogo....mwanzo tu ndio huwa mgumuMi nisha zoea Cheichei, hiyo good morning tuta kata ulimi๐
La hasha, huu si uungwanaUtazoea tu. Mdogo mdogo....mwanzo tu ndio huwa mgumu
Utazoea nakwambia. Usinichagize ๐คฃLa hasha, huu si uungwana
Wapemba hujuana kwa vilemba, hili zungu la nini sasa ๐ฆUtazoea nakwambia. Usinichagize ๐คฃ
mara nyingi sana huwa tunawekewa ujumbe kwenye hizi movie, sema mpaka tuje kuelewa huwa ni baadaye kabisa ama wakati mwingine tusielewe mazima..!Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya๐ au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote ๐ค et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
ipo miongoni mwa movie kali nilizokuwa nazisubiri kwenye huu mwaka..!!
entity haija kaa kama anti crist, ime kaa kama total controller wa watu na kila kitu.Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya๐ au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote ๐ค et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Nimeziona sasa, hata moja walai๐๐ปHivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya๐ au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote ๐ค et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Kama una Kumbuka kipindi Ethan ana ingia kwenye ile machine ya kuwasiliana na entity, ali ambiwa ita m control, na hakutakuwa na siri yoyote atakayo lificha.Hivi ntakuwa ni mimi tu kwa kuwa nafatilia sana mambo ya conspiracy theory mpaka yananichanganya๐ au wote mtakuwa mmeona story ya hii mission imposible fainal reckoning imekaa kama siku ya mwisho wa dunia, na the entity ni kama Anti christ alafu ethan ni kama the chosen one (mkombozi) wa watu wote ๐ค et Vincenzo Jr Mr Q Carleen Dr. Mariposa Intelligent businessman
Ukianza na ile ya 1996 utazimaliza zote kwa siku mojaNimeziona sasa, hata moja walai๐๐ป
Mmmh! Sidhaniiii๐๐๐Ukianza na ile ya 1996 utazimaliza zote kwa siku moja
๐๐๐ Kwa miaka ile ya 2001 mwenzio nilitoroka nyumbani saa 2 usiku kwenda kwa jirani kisa hiyo movie afu ilikuwa na masaa 2 ili iishe si nikatizama hadi mwisho nilivyorudi home mzee alinipiga kibao nilipiga yowe sio powa aisee. Nilifika home saa 6 usikuMmmh! Sidhaniiii๐๐๐
Inamaana Vincenzo Jr ulienda mwenyewe huko cinema bila kumualika Carleen?ipo miongoni mwa movie kali nilizokuwa nazisubiri kwenye huu mwaka..!!
Kibao tu ukapiga yoweee inaonesha ulikua muoga sanaaaaaa, mimi mzee hajawahi kunipiga ila amenifundisha kupigana (self defence) inanisaidia sana kukunja taya za vijana watukutu๐๐๐๐๐ Kwa miaka ile ya 2001 mwenzio nilitoroka nyumbani saa 2 usiku kwenda kwa jirani kisa hiyo movie afu ilikuwa na masaa 2 ili iishe si nikatizama hadi mwisho nilivyorudi home mzee alinipiga kibao nilipiga yowe sio powa aisee. Nilifika home saa 6 usiku