Series (Special thread)

Sikuwahi kuangalia Black Panther ya pili Ile, Leo nikasema niicheki, aisee nmeona na superman mpya. Itoshe kusema zama za muvi za superheroes ndo zinakwisha hivyo ama!!?😔
 
Vuta picha kwanza jiulize

Je mwamba kama yule anaweza kuuponza kirahisi vile😃
 
Oyaaa pale choko ni Yule mlinzi.

Yaan series nzuri saana isipokuwa kwenye hiyo scene...

Yaan nilikuwa nawapa salute ya 9.5/10 ila Kwa sababu ya Yule mean.ge mmoja nawapa 5.5/10
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…