Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,040
- 95,579
Naomba link kwenye vyanzo vyangu siipati
Ha ha ha ha Daaah 2.6.View attachment 3443026
Muvi ikitoka, lazima kwanza nichungulie IMDB. Rating chini ya 5 hata sihangaiki nayo๐
Tony SiricoWatu wana semaga tbag ni kichaa, ila paulie nahisi ndio hospital ya mazwazwa๐๐.
Selikavu, dosho12, Edo kissy, Razorblade
View attachment 3446189
Hapo nilipeleka mbele ๐ fastaGuys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐ป
Naomba link kwenye vyanzo vyangu siipati
Chief of War inazidi kunoga, ila majina yao kama hujala mlenda huyatamki๐คฃ๐คฃHapo nilipeleka mbele ๐ fasta
Kabisa jirani ile series kalii sana si unajua upande wa production apple Tv hawajawahi kukosea series zao huwa ni Kali sanaChief of War inazidi kunoga, ila majina yao kama hujala mlenda huyatamki๐คฃ๐คฃ
Youngblood mambo tayari mkuuMISSION IMPOSSIBLE ipo online tayari
Ali fariki 2022, he was a. LegendTony Sirico
Kazi zinadumu.Ali fariki 2022, he was a. Legend
Nlijua nataka 68 whiskey.
Kwakweli ni humu tu ๐๐๐
Hii Irish blood mbona kama inaendana kabisa na series nnazo zitafuta kama akina Barry na wenzake akina Fargo?
Exactly ๐ฏ brotherNlijua nataka 68 whiskey.
Vipi hii mission impossible ni clear kabisa?
Hii series mwanzoni ni miyeyusho but trust huko mbele ni balaa zito ๐ฅ๐ฅ๐ฅHiyo game of thrones wengi wanasifu ila niliangalia pale mwanzoni tu nikaona itaniboa tu
I think I'm gonna start with the rain Maker and then the Irish blood naomba unitafutie link yenye dual audio ya series hiyo the siege at thorn high haraka sana๐๐
Kazi imeanzaExactly ๐ฏ brother
I think I'm gonna start with the rain Maker and then the Irish blood naomba unitafutie link yenye dual audio ya series hiyo the siege at thorn high haraka sana๐๐