jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,689
- 41,849
Na netnaija nayo imepigwa chini,tumia nkirii.comWakuu.
Mbadala wa Awafim ni nini? Nipate site nzuri nishushe mizigo kwa mb chache
Inaitwa Black Birdππππ Tuachie sisi hizo.
Defending Jacob your honor Fargo
Hapo huwezi kutana na mambo ya James bond ila nakuhakikishia ukituliza kalio kwenye. Sofa ni series tamu sana. Nyingine ni Ile ya bonge alikuwa naua watoto wa kike ila hakuna ushahidi wa Moja kwa Moja kumtia hatiani hivyo akapelekwa mtu jela ili ampeleleze
Vincenzo Jr hizo series ulipatia sana kuzileta humu
Kivipi?Hata siangalii mana ntakarekwa tu.
fatilia movie iliyo toboa san part 2 yake inakuaje.Kivipi?
Ikimwagika kwenye ukumbi wetu huku mitandaoni uilete hapa.
Haina noma bablaiIkimwagika kwenye ukumbi wetu huku mitandaoni uilete hapa.
Huko cinema tunawaachia akina Vincenzo Jr na Carleen
πππIkimwagika kwenye ukumbi wetu huku mitandaoni uilete hapa.
Huko cinema tunawaachia akina Vincenzo Jr na Carleen
Baadae saa 18 jioni naenda kuitazama maana majuzi kati nilitazama weapons ni Kali sana sema inatisha vibaya mno yaaniπππ
si tulikubaliana mwenda cinema pekee humu ndani ni Vincenzo Jr..!? mimi mkulima wa muhogo mchungu na cinema wapi na wapi..!?
kutisha ile saaana ama tu naweza kukaza nikaitazama..!?π₯ΊBaadae saa 18 jioni naenda kuitazama maana majuzi kati nilitazama weapons ni Kali sana sema inatisha vibaya mno yaani
Ndio ukikomaa unaicheki tu mwanangu na Raha yake uzime taa au usubirie saa 8 usiku na wine π· pembeni πkutisha ile saaana ama tu naweza kukaza nikaitazama..!?π₯Ί
Naam movie nzuri saana hiiiWapenzi wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa π
View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7
Sometimes ratings haziamui story ya movie au uzuri wake...View attachment 3443026
Muvi ikitoka, lazima kwanza nichungulie IMDB. Rating chini ya 5 hata sihangaiki nayoπ
Mwanangu ujue hio payable ni bundle la mwezi kabisa ππππ hapo hujaweka nauli, popcorn, kurudia home late and other hidden expenses
Leo naenda kulala gesti mwenge popcorn wanauza buku 2 nipo na litoto la kibeiruti linataka kunitia umaskini lilitaka tiketi ya VIP eti lifatwe na basi hadi huku kigamboni ππMwanangu ujue hio payable ni bundle la mwezi kabisa ππππ hapo hujaweka nauli, popcorn, kurudia home late and other hidden expenses