Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,950
- 8,918
ipoje hiyo mkuu mana lost ilinibamba sana na ununda wa john locke na mzee wa kutumia akili nyingi Ben linusKama uliipenda "lost " wazee wa the others
Basi lazima uipende "the 100" wazee wa the grounders
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?
GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!
EMPIRE thumb up!
Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
jon snow mwenyewe kapigwa visu sasa sijui atakufa au itakuwa vp mana watu wote wa familia ya stark wanakufaGame of throne ipo adi season 5 ni balaaaa
shuveplus
ipoje hiyo mkuu mana lost ilinibamba sana na ununda wa john locke na mzee wa kutumia akili nyingi Ben linus
je hiyo ina maudhui kidogo km ya lost
jon snow mwenyewe kapigwa visu sasa sijui atakufa au itakuwa vp mana watu wote wa familia ya stark wanakufa
yaan seriez noma sana naisubiri s06 kwa hamu sijui itatoka lini
waswas wangu wasije wakaicancel km walivyonikatili ktk my favourite seriez KYLE XY niliumia sana walivyo icancel
Nlikuw nnaipenda sn kyle xy lkn baada ya kuja kugundua kwmb Matt Dallas n shoga na kafunga ndoa kabsa kw kuolew bas nikaitia kapunDuuh hlf niliona watu wanacomplain hvy kwa nini wanakufa sana mastar,
KYLE XY ilikua nzuri sana ila waliikatisha kwa sababu rate ya watazamaji ilipungua sana.
Kuna series ilitoka wakahamia huko,
Niliumia walivyoikatisha SECRET CIRCLE,
Yan ndio ilikua inazidi kunoga daah!
Ipo inaendelea na juz nmepakua season3 ep4The 100 season 3 vip?
Nlikuw nnaipenda sn kyle xy lkn baada ya kuja kugundua kwmb Matt Dallas n shoga na kafunga ndoa kabsa kw kuolew bas nikaitia kapun
nasikia jon snow atarudi though hawataki kuweka icho kitu waziiiDuuh hlf niliona watu wanacomplain hvy kwa nini wanakufa sana mastar,
KYLE XY ilikua nzuri sana ila waliikatisha kwa sababu rate ya watazamaji ilipungua sana.
Kuna series ilitoka wakahamia huko,
Niliumia walivyoikatisha SECRET CIRCLE,
Yan ndio ilikua inazidi kunoga daah!
seriez mtindo huo ndo napenda sana wacha nikaishushe leoThe 100 inahusu survivals waliokua wanaishi kwenye space baada ya dunia kuwa unsurvivable kutokana na vita ya nuclear...baada ya miaka 97 huko wakahamua kuwatuma madogo mia duniani kuprove kwamba radiation zimeisha duniani ili waweze kurudi maana chombo chao huko juu kilikua kishaanza kuishiwa na hewa...goma linaanza kunoga madogo hao wakifika duniani kwenye msitu ambao wanawindwa na the grounders
dah ! ni kweri wakaenda mbele zaidi wakadai ghalama ya kuiandaa ilikuwa inaizidi hadi ghalama ya mauzo so wakaona haina faida kwao wakaikataDuuh hlf niliona watu wanacomplain hvy kwa nini wanakufa sana mastar,
KYLE XY ilikua nzuri sana ila waliikatisha kwa sababu rate ya watazamaji ilipungua sana.
Kuna series ilitoka wakahamia huko,
Niliumia walivyoikatisha SECRET CIRCLE,
Yan ndio ilikua inazidi kunoga daah!
yaaan kaolewa kabisaNlikuw nnaipenda sn kyle xy lkn baada ya kuja kugundua kwmb Matt Dallas n shoga na kafunga ndoa kabsa kw kuolew bas nikaitia kapun
aaaaaaaaghliiiiiiHahahahaha Matt ni shoga kitambo tu, ila anapenda kuact movies kama straight man.
atafufuliwa na walker atakuwa ktk jeshi la wafu labdanasikia jon snow atarudi though hawataki kuweka icho kitu waziii
Moja Kati ya series nazozikubali sanaKama uliipenda "lost " wazee wa the others
Basi lazima uipende "the 100" wazee wa the grounders
Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogoHivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?
GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!
EMPIRE thumb up!
TEEN WOLF my favourite.
Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
nasikia jon snow atarudi though hawataki kuweka icho kitu waziii
yaaan kaolewa kabisa
aaaaaaaaghliiiiii
matt dalas ni shoga
sikuwa najua hilo kabisa
yaan nimenunajeeeee
araf kwann mastaa mashoga wanapenda kuact movie za kutumia akili sana like SCROFIERD
au chek matt dallas ktk KYLE XY yaan unaweza sema jamaa hta uhalisia wake yupo hivyo kumbe bonge la punga dah !
Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogo
Yani hujanifikia mimi,
Na amekufa kiuchungu kweli, hakuna wa kumuonea huruma zaidi ya mama ake.
Bora hata king jofrey alikufa...alikua ananikera Sana yule dogo