Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,220 Reaction score 79,729 Aug 12, 2025 #30,941 sawima said: Yani ni balaa. Click to expand... Humo hakuna kupoa watu wanaenjoy sana ipo kama warrior tu ni mwendo wa kumalizana tu 😀😀
sawima said: Yani ni balaa. Click to expand... Humo hakuna kupoa watu wanaenjoy sana ipo kama warrior tu ni mwendo wa kumalizana tu 😀😀
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,954 Reaction score 11,945 Aug 12, 2025 #30,942 LGBTQ in Sex Education Season 2 is too much
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,954 Reaction score 11,945 Aug 12, 2025 #30,943 sawima said: Hii Banshee mbona ina ngono za kiholela sana nimeangalia episode 3 tu naona inanishinda tabia. Click to expand... Ipi hiyo
sawima said: Hii Banshee mbona ina ngono za kiholela sana nimeangalia episode 3 tu naona inanishinda tabia. Click to expand... Ipi hiyo
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,220 Reaction score 79,729 Aug 12, 2025 #30,944 Reuben Challe said: LGBTQ in Sex Education Season 2 is too much Click to expand... 😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀
Reuben Challe said: LGBTQ in Sex Education Season 2 is too much Click to expand... 😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,220 Reaction score 79,729 Aug 12, 2025 #30,945 Jobless_Billionaire said: Mkuu dhambi zako apewe Poor Brain Click to expand... 😀😀😀😀😀
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,954 Reaction score 11,945 Aug 12, 2025 #30,946 Vincenzo Jr said: 😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀 Click to expand... Duh sema hii Sex Education itabidi nimalizie hivyohivyo maana ni kali, ila wamezidi, wanaume wanachekeana wanatoana hadi out 🤮🤮
Vincenzo Jr said: 😀😀 Kwenye series ya the boys walikuwepo kibao sema mie nilikuwa nacheki huku napeleka mbele 😀😀 Click to expand... Duh sema hii Sex Education itabidi nimalizie hivyohivyo maana ni kali, ila wamezidi, wanaume wanachekeana wanatoana hadi out 🤮🤮
Jobless_Billionaire JF-Expert Member Joined Aug 9, 2022 Posts 3,903 Reaction score 9,915 Aug 12, 2025 #30,947 Poor Brain said: Ahahahha kwakua mimi ndo nachukua madhambi ya watu humu ndani.... Mi nishatoa onyo kwamba sasa hivi kuna jamaa anaitwa jacuba ananifundisha karate .. tutakuja kuonana wabaya 😂😂😂😂😂 Click to expand... Wewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi?
Poor Brain said: Ahahahha kwakua mimi ndo nachukua madhambi ya watu humu ndani.... Mi nishatoa onyo kwamba sasa hivi kuna jamaa anaitwa jacuba ananifundisha karate .. tutakuja kuonana wabaya 😂😂😂😂😂 Click to expand... Wewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi?
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 27,402 Reaction score 54,845 Aug 12, 2025 #30,948 Jobless_Billionaire said: Wewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi? Click to expand... Mi nyumbani kwetu wa kwanza ni jamaa na heshima zangu
Jobless_Billionaire said: Wewe tayari ni mbaya mkuu, tukuone mara ngapi? Click to expand... Mi nyumbani kwetu wa kwanza ni jamaa na heshima zangu
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,968 Reaction score 46,620 Aug 13, 2025 #30,949 September 24 prime wanatuletea kitu View: https://youtu.be/DGT9yYN6siI?si=0GNMfDDjUfP54IO6
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,954 Reaction score 11,945 Aug 13, 2025 #30,950 Wapenzi wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa 😅 View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7
Wapenzi wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa 😅 View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,968 Reaction score 46,620 Aug 13, 2025 #30,951 Reuben Challe said: Wapenze wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa 😅 View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7 Click to expand... Una link ambayo muvi yake ni doubled? Yani Ina sauti mbili?
Reuben Challe said: Wapenze wa Action, angalia hii. Humu mkono unapigwa ule wenyewe kabisa 😅 View: https://youtu.be/QWnaYorT0Wo?si=SF2JGWONPYT-2UL7 Click to expand... Una link ambayo muvi yake ni doubled? Yani Ina sauti mbili?
Traxtion JF-Expert Member Joined Dec 10, 2021 Posts 5,954 Reaction score 11,945 Aug 13, 2025 #30,952 Mr Q said: Una link ambayo muvi yake ni doubled? Yani Ina sauti mbili? Click to expand... Hapana, mi nimetumia yts na sio dubbed
Mr Q said: Una link ambayo muvi yake ni doubled? Yani Ina sauti mbili? Click to expand... Hapana, mi nimetumia yts na sio dubbed
Living Pablo JF-Expert Member Joined May 17, 2020 Posts 3,826 Reaction score 11,647 Aug 13, 2025 #30,953 😂😂 jamaa apo alinichekesha sana, vita ni vita mura
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,089 Reaction score 9,423 Aug 14, 2025 #30,954 Living Pablo said: View attachment 3440144😂😂 jamaa apo alinichekesha sana, vita ni vita mura Click to expand... Anaujua moto wake huyo
Living Pablo said: View attachment 3440144😂😂 jamaa apo alinichekesha sana, vita ni vita mura Click to expand... Anaujua moto wake huyo
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,968 Reaction score 46,620 Aug 14, 2025 #30,955 Mizigo huo hapo View: https://youtu.be/RBmyiyZba3s?si=tkHlND-YCYtUpqMV DriveSeed DriveSeed driveseed.org
Mizigo huo hapo View: https://youtu.be/RBmyiyZba3s?si=tkHlND-YCYtUpqMV DriveSeed DriveSeed driveseed.org
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,089 Reaction score 9,423 Aug 14, 2025 #30,956 Mr Q said: Mizigo huo hapo View: https://youtu.be/RBmyiyZba3s?si=tkHlND-YCYtUpqMV DriveSeed DriveSeed driveseed.org Click to expand... IMDB wameipa rate ya 6.9
Mr Q said: Mizigo huo hapo View: https://youtu.be/RBmyiyZba3s?si=tkHlND-YCYtUpqMV DriveSeed DriveSeed driveseed.org Click to expand... IMDB wameipa rate ya 6.9
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,968 Reaction score 46,620 Aug 14, 2025 #30,957 Ndege Tai said: IMDB wameipa rate ya 6.9 Click to expand... Kwa maoni Yako ni rating ndogo au kubwa?
Trueman m JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 392 Reaction score 464 Aug 14, 2025 #30,958 Wakuu kwema, hivi naweza pata series ya Paradise free. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Ndege Tai JF-Expert Member Joined May 6, 2020 Posts 5,089 Reaction score 9,423 Aug 14, 2025 #30,959 Mr Q said: Kwa maoni Yako ni rating ndogo au kubwa? Click to expand... MImi ningeipa 7.4
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 20,968 Reaction score 46,620 Aug 14, 2025 #30,960 Ndege Tai said: IMDB wameipa rate ya 6.9 Click to expand... Mimi naishusha. Kuna wakati unamkuta series ina 5.6 ila ni nzuri Halafu nyingine Ina 8.8 ila ni ushoga mtupu nakumbuka movie inatwa Evelyn salt Ina rating chacheee ila ni muvi nzuri tu mi naishusha ntajua ni nzuri au mbaya nikianza kuangalia
Ndege Tai said: IMDB wameipa rate ya 6.9 Click to expand... Mimi naishusha. Kuna wakati unamkuta series ina 5.6 ila ni nzuri Halafu nyingine Ina 8.8 ila ni ushoga mtupu nakumbuka movie inatwa Evelyn salt Ina rating chacheee ila ni muvi nzuri tu mi naishusha ntajua ni nzuri au mbaya nikianza kuangalia