Episode mojamoja1080 kaka achana na 720 nitakuwa sipati quality tamu
Hii una 8GB 10801080 kaka achana na 720 nitakuwa sipati quality tamu
Safi mkuu
Natumiaga unlimited kaka mara ya mwisho nilitumia limited 2020
Naona kama unatutukana sisi wa nkiri.com kaka π π1080 kaka achana na 720 nitakuwa sipati quality tamu
Kaka kwemaππNaona kama unatutukana sisi wa nkiri.com kaka π π
Ipo njema sana jirani yangu πGuys, hii Chief of War nzuriii?
Sina shaka na Jason Momoa ila nataka tu kujiridhisha
Sawa jirani acha niipakueIpo njema sana jirani yangu π
Kwema πKaka kwemaππ
Mkuu kuna series ya Fargo nipo ep ya 7s ya kwanza ila bado hata kuielewa je uko mbele itakuwa moto mkuuu?Na Kuna ngumi nyingi mno
Ipo vizuri sana mkuu kama utapendelea na action hapo nakuongezea series inaitwa barryMkuu kuna series ya Fargo nipo ep ya 7s ya kwanza ila bado hata kuielewa je uko mbele itakuwa moto mkuuu?
Ahsante sana mkuu ila naona imepoa sana ngoja nisogeee kibishiIpo vizuri sana mkuu kama utapendelea na action hapo nakuongezea series inaitwa barry
Uzee shemeji πUmekuwa kama Shem binti kiziwi, naye amekuwa vivu sana siku hizi.
Sema ndio ukubwa huo, kapike chapati na sharifu ati.
ππππ Tuachie sisi hizo.Mkuu kuna series ya Fargo nipo ep ya 7s ya kwanza ila bado hata kuielewa je uko mbele itakuwa moto mkuuu?
Nami nita fatia ujue, sema movie siachiπUzee shemeji π
ni nzuri Vinnie ama unataka nije hapa kukulaani..!?