Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Sio lazima uangalie episode 1 yote, anza na dk chache tu mwisho uta zoea.Hata mimi ndio starehe ya pili ikitoka kulala. Ila naona uzee sasa, zamani nilikuwa naweza hata kukesha natazama movie. Ila sasa hata kumaliza episode moja ni mtihani. Single movie namaliza baada ya siku tatuπββοΈπββοΈπββοΈ
Hapa mtaani Kuna mtoto wa kilebanoni namvutia waya nimpeleke Zanzibar huenda hiki kibaridi kikaisha Leo hiiKula nyagi bwashee
Katuni za kikubwa huzipendiπππMie tom and jery na alvin and chipumunks ndo naangaliaga nikiwa bored.
Kuna animation kalii sana hizi hapa mwanangu ushawahi kuziona?πππ
tena na-enjoy na nacheka balaa, kitu kizuri kuhusu cartoon ni ile fantasy mzee mwenzangu, kuna vitu haviwezekani kwenye maisha ya kawaida ila kwenye cartoon yote yanawezekana hivyo kuna raha yake asikuambie mtu..
na kuna animation nyingi tu zina story line nzuri mno..!
Pampula ndio nini shindii πUkiwa pampula, tunakuchapa viboko.
Wamefanya niniWaKuu, hii sio season 2. Hii ni kama walivyofanya House of Dragons na Game of Thrones
Nina wiki ya tatu sasa naangalia episode moja ya The Americans na haijaishaπββοΈSio lazima uangalie episode 1 yote, anza na dk chache tu mwisho uta zoea.
SIku 3 tu?, kuna wiki nili angalia episode 1 wiki nzima kudadadeki.
Zipi hizo?Katuni za kikubwa huzipendiπππ
π€£π€£π€£ watoto wa afumbili hamuwezi kujua.Pampula ndio nini shindii π
Hahaha shindii kumbe mimi nae wa 2000 π nilikua nimesahau ujueπ€£π€£π€£ watoto wa afumbili hamuwezi kujua.
Si ndio!Hahaha shindii kumbe mimi nae wa 2000 π nilikua nimesahau ujue
Haya bhanSi ndio!
πππZipi hizo?
Nipe link niruke nayo sasa hivi
1080 au 720?Nipe link niruke nayo sasa hivi
1080 kaka achana na 720 nitakuwa sipati quality tamu1080 au 720?
11GB KUDADEKI FILE ZIMA1080 kaka achana na 720 nitakuwa sipati quality tamu