Series (Special thread)

Huyu mzee licha ya kupendwa na wengi sijui kwa nini ila hata simkubali
Nimeangalia movie zake kadhaa sizikumbuki majina ila nakumbuka nilipenda Taken na kidogo Retribution basi

Hiyo Ice Road Chrome iliniletea notification kitambo ila nilipomuona huyo mzee kwenye kava nikapuuza 😁😁
 
Hio muvi kajitahidi bana😁
 
Nimeanza kuangalia Wayward Pine episodes mbili mpaka sasa ila hebu mtu anifafanulie mbona sijaelewa😀 Huu mji mtu haruhusiwi kutoka wala kuongelea mambo yaliyopita.
Mate yashajaa ngoja na Mimi nishushe mizigo ya episode hata 3 hayo mambo n matam sana.
 
Nimeanza kuangalia Wayward Pine episodes mbili mpaka sasa ila hebu mtu anifafanulie mbona sijaelewa😀 Huu mji mtu haruhusiwi kutoka wala kuongelea mambo yaliyopita.
ETHAN kanikosha sana hatakiwi kulala mpk ajue wapi njia ipo ila nipo Episode 3 Kuna midudu inakula watu ushaanza kuonekana.

Nilikuwa nmetoka kuchakata papuchi nikasema ngoj nipitie episode nilale ila Toka nmeona Ile mimbwa najua huko mbele kitawaka ngoja ni deal nayo leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…