Series (Special thread)

We eagle apo kwenye Homeland toa weka The Americans
 
Kuna yule mwana FBI anakuja kugundua mwishoni kuwa rafiki yake ni kgb 😃😃 sema wale kweli walikuwa mashushushu sio powa mkewe kapiga kazi sana anaweza akaja kuku uroda kumbe anaku spy
Na kuna baadhi ya matukio wameyachukua kwenye historia ni matukio ya kweli kabisa (na baadae PHILIP na ELIZABETH walikuja kuoana kweli )
 
Kuna yule mwana FBI anakuja kugundua mwishoni kuwa rafiki yake ni kgb
sema wale kweli walikuwa mashushushu sio powa mkewe kapiga kazi sana anaweza akaja kuku uroda kumbe anaku spy
yule jamaa ilibidi awaache waondoke tu maana walimuweka karibu sana kama ndugu alafu kumbe wahuni wanachukua information kwa ajili ya taifa lao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…