Series (Special thread)

Movie gani labda umewahi kuipenda ukaona ni nzuri? Taja hata tatu tu
Umeniulizq mwaka huu ama ?..generally movie zangu ni hizi
1.Extraction zote
2.movies za has fallen za Gerald buttler
3.Lone survivor
4.Jason bourne zote
5.Tears of the sun

SERIES KALI
1.GOT ipo rank moja na PRISON BREAK
2.SEAL TEAM Naipa rank moja na VIKINGS
3.TERMINAL LIST naipa rank moja na POWER
4.TREADSTONE
6.BLACKLIST
7.JACK RYAN SERIES
8.SPECIAL OPS
9.HOMELAND naipa rank na 24 hours
10.MOBLAND na DAY 0F THE JACKAL
 
The American spinoff of β€˜SQUID GAME’ will reportedly begin production this fall


β€˜SQUID GAME AMERICA’ is the working title but David Fincher wants to call it something else


(via: @DanielRPK)
 

Attachments

  • 20250704_203413.jpg
    110.4 KB · Views: 9
Naangalia action za kwenye bellerina najiuliza kwamba bongo tutafika lini huko? Ni halali muvi zao zitengeneze mabilioni.

Jana nilikuwa naangalia thunderbolt najiuliza mainjinia wanaobuni mazingira ya muvi za mambele wanavichwa gani tofauti na mainjinia wetu huku bongo?
 
Mbona kwa kuangalia list yako inaonesha muvi ya Head of State ilitakiwa uipende pia
Au ladha ya movie kwako imeanza kupungua πŸ˜…πŸ˜…
 
Mi kuna muda huwa napenda kuangalia video za movie making zile ndefu kuanzia pre production mpaka post productio, wakizungumzia story development, set design, costume, characters, camera zilizotumika, aina za shots, location, vfx, sounds, unaona jinsi gani wenzetu wanavyojiandaa kwenye kila kitu, niliyoipenda ni making ya The joker ile joaquin phoenix na ya Dune part one
 
Ile ballerina ni Kali sana nilimpenda yule bidada mno yaani pale anavyopiga watu visu mixer nyundo acheki na wowote aisee πŸ˜€

Kibongo bongo bajeti zetu za laki tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…