Series (Special thread)

dosho12 na Vincenzo Jr mrejesho wenu wa zile movie za kutisha huo hapo, nimeshamtumia majina ya zile za juzi mlisema nitazame saa 8 za usiku, nasubiri mrejesho nazo..!! πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3388797
πŸ˜… dah kwamba "wanafunzi walikuwa kwenye kutengeneza movie" πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» huyo simuweziπŸ˜†, ngoja tuone na hizo nyingine atasemaje
 
dosho12 na Vincenzo Jr mrejesho wenu wa zile movie za kutisha huo hapo, nimeshamtumia majina ya zile za juzi mlisema nitazame saa 8 za usiku, nasubiri mrejesho nazo..!! πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3388797
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒYupo vizuri now tutampa cheti πŸ˜ƒπŸ˜ƒ mwambie atafute hii IT niongeza mpe hizi
Get Out
The Substance
Case 39
Kinds of Kindness
 
Ndio awe bi mkubwa wako πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
View attachment 3389570
players wa squid game 2 na 3 ambao wangeweza ku survive squid game one ni watatu 1. Gi hun 2. Yule jamaa aliyetaka kumuua mwanae namba 333 na 3. Yule transgender, wengine wote wasingefika mbali sababu squid game alikuwa inahitaji players wenye nguvu na akili
 
Exactly kaka sema yule trans kafa vibaya mno kala bisu la mgongo aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…