Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,326
- 4,569
Sana mkuu mi penguin na mr riddle(nygma) wamenikosha sana nipo season 3 sasaNilishawahi sema humu mara kibao Kuna kiazi kinaitwa penguin humo🐧 miyeyusho sana huyo jamaa
Series kalii sana hiyoSana mkuu mi penguin na mr riddle(nygma) wamenikosha sana nipo season 3 sasa
Wewe ni wa kunifanya nitazame hii movie kisha nikai Google ili kuielewa..? Umenikwaza mno..!!😂😂
The best part ni ile barua aliyo andika MIKKEL NEILSOView attachment 3377720
Leo imetimia miaka 6 Toka kifo Cha MIKKEL NEILSON
Niliipenda jina la MIKKEL nilitamani nimwite mwanangu wa kiume huko nikijaaliwa uzao.
Nmeangalia series nyingi sijawahi kuzirudia hata mara 1 ila DARK itabaki kuwa the top ambayo unatakiwa utulie ili upate Radha ya movie.
😃😃😃😀😀 Nzuri sana hii mwanangu 😎😎😎Wewe ni wa kunifanya nitazame hii movie kisha nikai Google ili kuielewa..? Umenikwaza mno..!!😂😂
In Vincenzo Jr's voice, ni kali mno mwanangu..!!😂Nimeidownload DIABLO bado sijaangalia ila wadau wengi hawajaipakulia minyamaaa sana
😀😀😀Mambo 😎In Vincenzo Jr's voice, ni kali mno..!!😂
unaendeleaje Vin,😀😀😀Mambo 😎
Nipo vizuri mwanangu now nipo napigwa na jua huku baharini 😎unaendeleaje Vin,
HahahaNipo vizuri mwanangu now nipo napigwa na jua huku baharini 😎
Hahahaha vincenzo muvi nyingi anakuambia ni kaliiiiIn Vincenzo Jr's voice, ni kali mno mwanangu..!!😂
Wangeachia ata mwaka huuOFFICIAL MOBLAND SEASON 2
Hapa inabidi tusubili mwakani mwishoni
Nilikuwa naenjoy mwanangu 😎Hahaha
unapigwa jua la ku enjoy ama la kuteseka mzee..??