Series (Special thread)

Hivi fractured ni ile mtt wake anaanguka halafu wanakutana na mauzauza hospitalini? Mie sijafaham, ina maana ile inakuwa kama imaginations au vp? Mie naona sijaifaham ile movie niwe mkweli tu
Kuna msemo yule mtu wa saikoloji alisema " the mind can sometines create a false reality to shield it self from trauma "
Kwa ndio ile inaweza kuwa kama imagination anayopitia yeye ili asikubaliane na hali halisi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina List moja ndefu balaa, nimechukua suggestion humu ndani, nitakuja wapa maua yenu nikimalizana nazo..!!
 
Wakuu msaada wenu mtakao kumbuka series ya gangs of london niliishia pale sean anamuokoa billy kwenye maji natak nijue ile ilikuwa series ya 1 au 2 na episode ya ngapi ili nisamve Gb za kudowload kuanza upya naona hasara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…