😂😂😂
Nilitazama ashfall juzi, nashangaa Jana nimeota Mimi ndiyo natafutwa kwenye thermal image, nikawa najificha msituni eti mwishowe nikafanikiwa kutoroka..!!
Sijui niache movie kwa muda..? Kuna kitu hakipo sawa kwa hii kichwa walaqhi'..!🙌
Wakuu nimeanza kuangalia series ya Severence mniombee. Inahitaji umakini kweli ukizubaa tu huelewi chochote unaishia kuona haifai. Ila kama niliweza kutoboa kwenye series ya Dark basi hata HII NINABEBA