Mkuuu nimemaliza Band of brothers na The Pacific naw sina cha kucheki mkuuuNi mbovu achana nayo
Tazama hiziMkuuu nimemaliza Band of brothers na The Pacific naw sina cha kucheki mkuuu
Wameupiga sana hela za cinema acha sie wa online tuenjoy mda huuDuh mbona mapema hivyo me nlikuwa nshapiga hesabu hapo mwezi wa tano mwishoni au sita mwanzoni😁😁😁
Houses of card ilinishinda mwanzo au nianze kuicheki upyaTazama hizi
All the Light We Cannot See
House of Cards
Ngoja niaangalie All the light we cannot see but naona kma S MOJA TUTazama hizi
All the Light We Cannot See
House of Cards
Nilicheck trailer yake Jana katika pita pita maana niliona ina viewers wengi balaa, ila najuuuuta sikuweza maliza hata sekunde kadhaa mbele, ina ukatili wa khali ya juu mno, na kukaza kote ila yakanishinda..!!🙌Hii nasikia imevuja , mimi nimezidownload kuanzia ya kwanza ili nijikumbushe
Ndio ipo moja mkuuNgoja niaangalie All the light we cannot see but naona kma S MOJA TU
Hii sio powa Kuna ukatili mno humu mie ndio nimeimaliza hapa 😃😃Nilicheck trailer yake Jana katika pita pita maana niliona ina viewers wengi balaa, ila najuuuuta sikuweza maliza hata sekunde kadhaa mbele, ina ukatili wa khali ya juu mno, na kukaza kote ila yakanishinda..!!🙌
Mnawezaje..??
Hii na sinners zote zipo online 😎Hii nasikia imevuja , mimi nimezidownload kuanzia ya kwanza ili nijikumbushe
Mwisho ni ngapi
Weka link ya 7 na 8. Vyanzo vyangu bado vimekwama kwenye 6
Kuna hizi 1. Dark matterDah hii Fringe nilikuwa wapi siku zote kutoiona bonge moja la series. Kuna hii Fringe na Manifest, napenda Sana hii genre ya mystery na Sci-fi. Kama kuna nyingine za dizain hii naomba recommendation wazee
1&2,5 tayar, ngoja nishushe hizo zingine hapoKuna hizi 1. Dark matter
2. Under the Dome
3. The peripheral
4. Outer Range
5. 3 body problem
4. The returned, hii siyo sci fi inahusu watu waliokufa kwenye mji huo wanaanza kurudi ghafla mmoja mmoja
Naona unaenjoy kumuona Olivia huko series kalii sana hiyoDah hii Fringe nilikuwa wapi siku zote kutoiona bonge moja la series. Kuna hii Fringe na Manifest, napenda Sana hii genre ya mystery na Sci-fi. Kama kuna nyingine za dizain hii naomba recommendation wazee
Episode zipo 10 mzee, ya 9 inatoka tarehe 25 May..!Mwisho ni ngapi