Series (Special thread)

Safi sana. Nikikuwa napambana na gangs of london season 3 nikabaki nashangaa. Ilikuwaje wewe uishie episode ya 9? Wakati kila episode ni tamu yani tamu balaah!!

Now nipo episode ya 8. Nimejifunza kwenye haya maisha kuna watu wana deep connections huku wengine wakielea juu juu tu.

Usije shngaa wale wanajitapa kusafirisha ma avocado, mboga za majani na maua nje ya nchi ukute wana biashara zao nyingine zinazo wafanya wajenge magorofa.

Kweli mtu anaishi ulaya halafu ategemee sukuma wiki koutoka bongo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…