July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
mkuu utakuwa umekosea jukwaa. kama vp weka tangzo jukwaa la matangazo. hapa nikupeana vitu bureeeee.Kwa anayehitaji Series, fanya kunitafuta (Call/WhatsApp) kwa namba +255688736202
» Hata kama imetoka leo, utaipata
Bei rahisi na inapungua kulingana na Mzigo unaochukua
Ila hio site huwezi lingnisha na O2tvseries.com kwa kuwa na mb chache. O2tvseries wao mb nyingi kwa episode ni 78 ukidowload mp4 na ukidownload 3gp extension unapata kubwa Ina mb 30 na kitu. Upande wa movies huwa nawatumia mp4HDmovies.org wako poa Sana na walipendekezwa na chief mkwawa pia.mkuu utakuwa umekosea jukwaa. kama vp weka tangzo jukwaa la matangazo. hapa nikupeana vitu bureeeee.
mfano kuna website aliitoa Chief-Mkwawa inaitwa dl.fardadownload.ir inazo series karibia zote kali kwa Mb chache na quality kubwa.
Mzee hizo tayari mzeeeInto the Badlands, Banshee
shades of blue bado haijanoga....Shades of blue. Shadowhunters and shannara chronicles
Kamata hizo zingineshades of blue bad
shades of blue bado haijanoga....
Shades still naiona ya kawaida sana sijui ka huko mbele itachangamka!Kamata hizo zingine
Nakuunga mkono. Me mwenyewe episode ya 2 nimeiona nusu nikaachaShades still naiona ya kawaida sana sijui ka huko mbele itachangamka!
Jaribu shadowhuntersShades still naiona ya kawaida sana sijui ka huko mbele itachangamka!
Nimesoma briefing yake tu uchawi hapana mkuuJaribu shadowhunters
Hahaha kumbe unaogopa uchawi. Marvel daredevil tayari?Nimesoma briefing yake tu uchawi hapana mkuu
Ok m hata second chance imeshindwa kunishawishi ngoja nisubiri
Tyrant
The 100
Game of thrones
Hivi Kuna watu wananunua series kweli?? Dunia ya leo??? Online kila kitu kipo wewe wauza?? Anyway kila la kheriii mkuu. Watakuja.
Ndio nnasubiri season 6 ili nijue hatima ya J snow,Japokuwa speculation zinasema jamaa atafufuliwa/okolewa na red woman,na kama watamchoma hataungua maana mama yake no tygarian.ukitaka kuielewa game of throne ujitahidi isikupite hta scene moja yaan ukiongea na simu weka pause nk na maneno uyaelewe vizuri sana wanayozungumza ni vizuri ukadownload na subtitle yake ili uielewe zaidi na season 2 mwishoni ndo inaamza kuchanganya ni moja kati ya seriez kari sana km ilipoishia sa hv JON SNOW kama kafa najiuliza itakuaje na jeshi la wafu ndo linazidi kukua nahisi utamu unazidi kukolea