Series (Special thread)

Bkack dove niliishia episode chache. Wewe seasons zote hizo uliwezaje
Elite ina story nzuri sana kuhusu wanafunzi wa kishua na drama zao, humo kuna vifo inabidi wasolve, kuna drugs na kuna hizo ngono zembe yaan full mihangaiko
 
Euphoria nishaona ep 2, najua ni nzuri ila mzuka wa kuangalia nakosa sijui kwa nini
 
Tumia moviebox mkuu
 
wewe uliye futa muvi ya A working man kwa kisingizio kwamba sio nzuri utuombe msamaha wapenda muvi za action. Muvi tamu nimeipata HD
ndani yake kuna
drug dealing
human trafficking/kidnapping
revenge
Family reunion

Above all kuna action kama unavyo jua tena Jason hawezi kutuangusha kwenye swala hilo😼😼😼😼
 
Kabisa Andike barua ya kuomba Radhi, Aiandike kwa mkono siyo ya kuchapa ikiwa na muhuri wa balozi wake na mwenyekiti mwisho wa kupokea maombi ni ijumaa saa 12 jioni
 
Itakuwa alilewa wakati anatazama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…