Hii sijawahi kuichek ni horror?
No ni Psychological drama Inatoka Mei 16, 2025Horror?
Ndio ila Ina action package ndani yake na inahuzunisha mno yaaniHii sijawahi kuichek ni horror?
NtaishushaπππNdio ila Ina action package ndani yake na inahuzunisha mno yaani
Episode ya kwanza tu kaitazama.hiyo gangs of london nikajua hamna kazi humo kumbe nililinda mb zangu ki halali.Wakuu kumbe Fargo kali kinoma aiseee apa naanza season 2 sasa
Huwa napenda series za hivi aise inakuwa na ladha flani ivi kwanza settings zake ni small towns afu pia local sio naangalia series zilizojaa umjini mwingi mpaka inakera afu storyline mbovuuuu kama hii gangs of london yaani tena ilivoishia watakuja kutoa season nyingine aisee sitarudia kuchoma mbs zanguu
Hivi huyu Babu bado yupo kumbeπ€Naomba mniwekee movie za mkali CHUCK NORRIS
Natembea na VIGIL kwanza nitawakuta mmesogeasogea na episodes hizo za moblandMobland imefikia EP ya 3
Duh siku zinakimbia mimi naona kama juzi tu ulipost zimebaki siku 21 last of us iachiwe
Time Flies ππDuh siku zinakimbia mimi naona kama juzi tu ulipost zimebaki siku 21 last of us iachiwe
Mwaka huu mpaka mwezi huu nimeona movie 2 tu zenye nafuu black bag na the gorge zilizo Baki nilikuwa natizama huku nasinzia tuA working man ni ya kijinga dah Jason ameniangusha mno hata sijaimaliza nimeamua niifute kabisa
Mobland vipi ni nzuri?Mwaka huu mpaka mwezi huu nimeona movie 2 tu zenye nafuu black bag na the gorge zilizo Baki nilikuwa natizama huku nasinzia tu
Ipo fresh sana tupo EP ya 3Mobland vipi ni nzuri?
We si ni mzee wa 'ni kali'..!!πππMwaka huu mpaka mwezi huu nimeona movie 2 tu zenye nafuu black bag na the gorge zilizo Baki nilikuwa natizama huku nasinzia tu
ππππWe si ni mzee wa 'ni kali'..!!πππ
Black bag sikuikubaliMwaka huu mpaka mwezi huu nimeona movie 2 tu zenye nafuu black bag na the gorge zilizo Baki nilikuwa natizama huku nasinzia tu