Nangojea season 2, naona dante nguvu zake hajazielewa vizuri.Hii ipo kwenye pc tayari
Uku ndo unapojifichiaπΉπΉSasa kama hupendi/hujui movies/series zenye drama nzuri usiambiwe kisa unapenda mangumi?
Ulitaka wote tukubaliane kuwa adolescence sio nzuri kisa episode ya 3 haikuwa unavyotaka?
No offense, ila usilazimishe tuone kitu kibaya kisa genre hujaipenda. Wengine tunapenda hivyo usivyopenda!
Hii adolescence mi sijaiona bado mzee natembelea feedback za Wana Tu hapa, relax man sina mpango wa kuitazama Kwanza title yake imekaa kike kike sanaSasa kama hupendi/hujui movies/series zenye drama nzuri usiambiwe kisa unapenda mangumi?
Ulitaka wote tukubaliane kuwa adolescence sio nzuri kisa episode ya 3 haikuwa unavyotaka?
No offense, ila usilazimishe tuone kitu kibaya kisa genre hujaipenda. Wengine tunapenda hivyo usivyopenda!
ππHii adolescence mi sijaiona bado mzee natembelea feedback za Wana Tu hapa, relax man sina mpango wa kuitazama Kwanza title yake imekaa kike kike sana
Mkimaliza tafuteni na Barry series Kali sana hiyo πFargo ni balaa π₯, wewe uliyeileta hii nakupa π
Thanks manMkimaliza tafuteni na Barry series Kali sana hiyo π
Njoo kigamboni nikupe PC Kabisa πAnaenijali jaman Sina Ata niliyo watch jaman πΉπΉ kwaio tunafanyaje
Delivery basiππΎNjoo kigamboni nikupe PC Kabisa π
Location wapi ππDelivery basiππΎ
GobaLocation wapi ππ
Nakuja ππGoba
Nishtue ukifikaNakuja ππ
Ukiona range Rover ya blue Ina zagaa zagaa ujue ndio Mimi hapoNishtue ukifika
Eh kwamba nakaa barabaran mm traffic auUkiona range Rover ya blue Ina zagaa zagaa ujue ndio Mimi hapo
Mbona sikuoni aiseeEh kwamba nakaa barabaran mm traffic au