hapana, hizi movie au series huwa zinaweka mkazo sana kwenye torture kuliko hata story yenyewe, sasa nashangaa watu wanaopenda zaidi torture kwenye movie kuliko yale maudhui general ya kwenye movie wana matatizo ya saikolojia au vp, mimi siogopi kuangalia horror lakini movie inayoonyesha horror kama main theme yake mimi naipuuzia,Mkuu inaonekana wewe muoga sana, mi hizo ndo nazipenda ila za kizombi hapana.
Jaribu hapa, bitcq.comTafadhali msaada Wa magnetic link ya kundownload Korean series
Ingia hapa gooddrama.net..tumia idmJaman nisaidieni namna ya kupata season za kikorea naombeni msaada
dah blacklist jaman naielewa sana hii series imeniacha hewani ..cjui wqmeshaikata kichwa nayo
Samahani ningependa kujua namna nyepes ya kupata Korean series
gooddrama.net
Tumia idmUnatumia program gani kudownload mkuu??